Kwa nilichokiona usiku huu kwa huyu mwanamke, naahirisha rasmi ndoa yangu ya Disemba 2015

Kwa nilichokiona usiku huu kwa huyu mwanamke, naahirisha rasmi ndoa yangu ya Disemba 2015

Fairy tales for vijana lol!
Ugekuwa yule mdenish ungekuwa mbali!
 
Hata kama hutaoa hayo yatakupata tu mm nasema wabanjuane tu maana hamna namna kuoa ni lazima
 
Ww utakuwa huna akili, kwani ilo ni jambo geni?kama huna mungu hayo tegemea tu, ushauri ni kuokoka na kuwa hofu ya mungu

Baba mchungaj umepotea sana tangu umeondoka upako Umepungua sana hapa jf
 
GENTAMYCINE, Kwani aliyenyonya maiki na 'kufukuliwa uvungu' ni mchumba ako uliyetaka kufunga naye ndoa? Na kama siyo hivi na yeye akikukabidhi tabia za mzee wa texi za kuacha mke wake patakalika..??? Ishi maisha yako si ya mwingine... Acha 'sterio typing'... usimjaji mtu kwa tabia za mwingine kwa vile tu wana jinsia moja au wanatoka ethnic group moja...
 
Inaonyesha tu huyu dada ulikuwa unamzimia, kumfuatilia kiasi hicho sio bure! Pole sana...ndio athari za umbea na kupiga chabo
 
Live your own life .comparison has no end na sio kila mwanamke hajieshim lol
 

  • "Na Demu Akawasha Simu Na Kumpigia Hili Zee Tena Huku Akimuita Honey Na Kumwambia Kuwa Simu Aliizima Kwakuwa Iliisha Chaji Na Bado Yupo Mjini Hivyo Waonane Tu Kesho Asubuhi "...hayo maneno uliyasikiaje mkuu?​




Umemkata mkuu, njia ya mwongo fupi
 
Acha uamuzi mbaya.kumbuka wanawake wametofautiana kama siku zilivyotofautiana isitoshe jifunze kwa walioweza na sio walioshindwa.
 
GENTAMYCINE


Pole kwa ulichoshuhudia Mkuu.
Ila sidhani Kama Leo Ndo Mara ya kwanza unatambua kuwa kuna watu wenye tabia hizo...naamini ulishaona mahali pengine au Hata ulishasikia mahali flani.

mimi binafsi sikushauri uendelee na uamuzi wako wa kutofungua Ndo au kubadili mademu Kama Mboga...huko ni kujiaribia maisha na unajiweka ktk risk zaidi.

Hitimisho;

Usiishi kutokana na influence za maisha ya watu, try to find yo own way to live....

Life is beautiful when u have common standing and yo own choice.

Niwekee kadi ya mchango wa harusi Kama vipi....

Embe moja likioza bado mazima yapo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom