The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,748
- 3,229
Anatakiwa asaidiwe kulea watoto, kusomesha watoto na kupata kazi/Mtaji.Shida ya Watz hatujali thamani ya Binadamu.
Single maza ni Victim, anatakiwa kusaidiwa na sio kukashifiwa.
Wanaume tunafeli sana kwenye haya mambo. Wanawake wananavyo tubagua wakati hatuna kitu yaani vetting ya maana lakini sie tunawaonea huruma kenge hawa.Hivi unaakili timamu unawezaje kuweka takataka kama hiyo ndani
Tena wabarikiwe haswaa.Single mothers wana shida sana kwenye hii Dunia.
Wanaowapa mimba wanawakataa halafu bado lawama zinarudi kwa single mothers tena.
Wanawake wenye watoto popote mlipo nawatakia mafanikio kwenye pilika pilika zenu na utaftaji wenu.
Hauna hela bana!! Yani buku7 umeombwa umekuja kulia lia huku? Nyie vijana wa2000 ni shida sana kila kitu ukiambiwa na mwanamke unakuja kusimulia, saidia uyo manzi kwa icho kidogo alicho omba!! Mimi nipo na single lady na hapa anadai tv inches55😂😂😂 wewe buku7 umekuja kutusimuliaYaani nimeopoa Dem mkali kuja kushtukia ana watoto wawili alafu ni 24 tu ukimuangalia ni msafi ukimuacha ndani unakuta mazingira safi chakula kizuri na.kana heshima ila ukimuacha tu inabidi umuachie hela ya matumizi ya ndani alafu atakwambia naomba hela nitume nyumbani wanangu wale yaani watoto wanamtegemea ukimuuliza baba yao yupo.wapi anakwambia kashaowa. Hivyo.hausiki na malezi ya watoto
Yaani nitoke niache 10,000 ,12000 mezani alafu nitoe tena 7000 atume kwao nikaona hapa sio pa kuweka kambi nikamwambia tu nna ugeni wa ndugu zangu hivyo aende kwao wakiondoka atarudi
Ingekuwa wewe ungekaa nimetimua mbio yeye.mwenyewe haamini kataa single mother kwa usalama wako
😂😂😂😂😂 daah umefanya nicheke mkuuWanaume tunafeli sana kwenye haya mambo. Wanawake wananavyo tubagua wakati hatuna kitu yaani vetting ya maana lakini sie tunawaonea huruma kenge hawa.
Wee bwana kidume no dating single maza, sijui broke lady wote hao piga sepa. Sio wakuwaonea huruma. Sie tukiwa broke na tuna vibamia wanatukwepa kama ukoma.
Usimuhurumie mwanamke wewe mburuze tuu
Wengi wao wanatelekezwa kwasababu ni wasumbufu.... Ni wachache sana wanakuwa watulivu....Single mothers wana shida sana kwenye hii Dunia.
Wanaowapa mimba wanawakataa halafu bado lawama zinarudi kwa single mothers tena.
Wanawake wenye watoto popote mlipo nawatakia mafanikio kwenye pilika pilika zenu na utaftaji wenu.
Sure bro....hawa unatakiwa uende nao kitaliban style😂😂😂😂😂 daah umefanya nicheke mkuu
Tunaandika kama njia ya kukemia kuzaazaa hovyo, wewe kama ni mdada ni singo maza kama ni mshkaji basi jitathmini acha kuwa na huruma za kijinga.Hivi haya makejeli,dharau na maneno yasiyofaa mnayoandikaga huwa mnahisi mnaishi kwenye ulimwengu wa peke yenu au ni hapahapa duniani Ambapo mna kina dada,shangazi,mama wadogo na pengine hata watoto wenu wa kike ambao nao ni wahanga wa hicho mnachokiita singo madha?
Hiyo ni payback ya uzezeta lazima dunia ikuadhibu kwa kuwa mjinga.Mwisho hua mnasema nilimuoa sababu nilimuonea huruma ila leo kachukuliwa na wanae mjini mimi nimebakia mwenyewe sina hata mtu wa kunipikia na wale watoto nimewasomesha kwa pesa zangu lakini mama yao akawaambia wamesomeshwa na baba yao aliewakimbia bila kuwahudumia miaka yote nimewahudumia aaah ngoja kwanza nilie kwanza kidogo
Na hivi ndio inavyotakiwa. Umeshaonywa ukienda tofauti pambana na litakalo kukutaMtoto wa kike unampa tahadhari na maonyo yote, Akiamua kwenda kinyume na akawa single mother, it's up to her. Ni juu yake.
Mimi sitahusika tena.
Ukishapewa tahadhari halafu ukaenda kinyume, litakalo kukuta likukute. Utakomaa kivyako.
Kwa hio hapa unawasupport single mother?Hiyo ni payback ya uzezeta lazima dunia ikuadhibu kwa kuwa mjinga.
Only the strong survive, the weak must perish/ be punished!!!!
Learn or perish!!!!!
Labda na mimi ni miongoni mwa wanaume wajinga.Kataa singele maza usioe chezea lala mbele
Mkuu bangi iliwakosea nini ?naskia wanapenda bad boys, wale wanaume wahuni wakabaji na wavuta bangi
naskia ndo kiini cha tatizo
Sogeza vitafunioLabda na mimi ni miongoni mwa wanaume wajinga.
Nilioa single mother miaka 18 iliyopita. Hadi leo sijanusa harufu ya usaliti wala ubaguzi kwa watoto wetu.
Nimewalea kwa upendo na msimamo na sasa wanajitegemea. Wananipa support kadri ya uwezo wao. Hunisaidia michango ya shule kwa wadogo zao hata wasio wa mama mmoja. Kifupi wanashirikiana kama wa mama mmoja, kuanzia kaka yao asiye mama mmoja na wao hadi wadogo zao wa mama na wasio wa mama mmoja.
Nina familia yenye umoja, sijawahi kujuta kumwoa single mother. Ananijali na kunipenda. Anaheshimu mali zetu na kuzitumia vizuri. Ni mpambanaji kusaka riziki kadri ya mipango yetu.
Nampenda sana. Long live my single mom.
PIGA SPANA, hakuna kuwa na huruma na wajinga wajinga.Hizi nyuzi Kuna wanaume wenzenu huenda wanajisikia vibaya sana kwani wamezalidha mabint za watu wengi tu na bahat nzuri wamepata watoto wa kike
Kakazangu punguzeni ukali wa maneno na nyinyi mtakuwa na watoto wa kike hamuwez kujua watapitia nn na watafanya makosa gani
Ni kheri aliyezaa kuliko anaetoa mimba mnaona ni mabint kumbe ni mama wa marehemu
Kama vile alilazimishwa kumpenda 🥰🥰🥰🥰Hivi unaakili timamu unawezaje kuweka takataka kama hiyo ndani
Alishamzarau kiasi kwamba alimuona huyu jamaa ni wa hovyo sana,mwanamke akishakudharau atakwambia chochote kile hata kukuita majina ya matusi, huyu boya wala hashtuki.Alikuwa jasiri🙌🙌🙌kwamba lete hela nitume nyumbani 💪💪💪dah strong woman
Bora angetumia maarifa mengine jukumu la kulea hao watoto sio kabisa lako