soma replies zangu zote utapata majibu.Kwa hio hapa unawasupport single mother?
Kipi kilichokufanya uoe single maza?Labda na mimi ni miongoni mwa wanaume wajinga.
Nilioa single mother miaka 18 iliyopita. Hadi leo sijanusa harufu ya usaliti wala ubaguzi kwa watoto wetu.
Nimewalea kwa upendo na msimamo na sasa wanajitegemea. Wananipa support kadri ya uwezo wao. Hunisaidia michango ya shule kwa wadogo zao hata wasio wa mama mmoja. Kifupi wanashirikiana kama wa mama mmoja, kuanzia kaka yao asiye mama mmoja na wao hadi wadogo zao wa mama na wasio wa mama mmoja.
Nina familia yenye umoja, sijawahi kujuta kumwoa single mother. Ananijali na kunipenda. Anaheshimu mali zetu na kuzitumia vizuri. Ni mpambanaji kusaka riziki kadri ya mipango yetu.
Nampenda sana. Long live my single mom.
Uu ndo ujanja sasa unawaonea huruma mtandaoni, lkn kuoa hauoi.Mimi nawaonea huruma hawa wadada wengi wao walidanganywa na sisi wazala harafu baadae tunawatelekeza na watoto wao baadae wanakutana na Wananchi na Sera zao mpya na kuwaponda kwa kuwaandikia nyuzi..
Mwanamke ukiishiwa pesa , hua Hana excuse zaidi ya kukuacha jumla, hivo hata kama unazo tumia kwa mipaka na tahadhari Sana ili akija kuondoka anaondoka na uchi wake , wewe unabaki na pesa zako hata kama ni ndogo lakini hakikisha mwanamke haifaidi pesa yako kupita kiasi , unampa kwa kutishiatishia , ukijimwaga utaachwa vibaya sanaSure bro....hawa unatakiwa uende nao kitaliban style
Kwaiyo kaka umeacha ndaraYaani nimeopoa Dem mkali kuja kushtukia ana watoto wawili alafu ni 24 tu ukimuangalia ni msafi ukimuacha ndani unakuta mazingira safi chakula kizuri na.kana heshima ila ukimuacha tu inabidi umuachie hela ya matumizi ya ndani alafu atakwambia naomba hela nitume nyumbani wanangu wale yaani watoto wanamtegemea ukimuuliza baba yao yupo.wapi anakwambia kashaowa. Hivyo.hausiki na malezi ya watoto
Yaani nitoke niache 10,000 ,12000 mezani alafu nitoe tena 7000 atume kwao nikaona hapa sio pa kuweka kambi nikamwambia tu nna ugeni wa ndugu zangu hivyo aende kwao wakiondoka atarudi
Ingekuwa wewe ungekaa nimetimua mbio yeye.mwenyewe haamini kataa single mother kwa usalama wako
Ukweli mtupu. Hawa ukiishiwa wanakubwaga vibaya sana.Mwanamke ukiishiwa pesa , hua Hana excuse zaidi ya kukuacha jumla, hivo hata kama unazo tumia kwa mipaka na tahadhari Sana ili akija kuondoka anaondoka na uchi wake , wewe unabaki na pesa zako hata kama ni ndogo lakini hakikisha mwanamke haifaidi pesa yako kupita kiasi , unampa kwa kutishiatishia , ukijimwaga utaachwa vibaya sana
Afadhali uitwe bahili na mchoyo huku unalinda uchumi wako itakusaidia mbele ya safari hata kufanya mambo ya msingiUkweli mtupu. Hawa ukiishiwa wanakubwaga vibaya sana.
Ni huko kwenu na hapa jfPIGA SPANA, hakuna kuwa na huruma na wajinga wajinga.
Mwanaume huruhusiwi kuwa mdhaifu, ukiwa na mtoto wa kike mpe miongozo akianguka na kuacha kufata miongozo hilo sio kosa lako wewe ulishafanya sehemu yako ni zamu ya dunia/ nature kumpa anachostaili.
Ukizaa hovyo mwanamke tambua hilo ni lako na utadharaulika sana na walimwengu tutakubagaza na kukuchakaza na kukutumia maana wewe hukujua thamani yako kisha ubane MAPAJA kuepuka USINGO MAZA. Umelikoroga huna budi kulinywa.Ukitaka usibaguliwe usidharauliwe,jisucrifice ubane MAPAJA YAKO.
World wide hata huko porini hakuna kiumbe kinaanza mechi na magoli mkononi hakuna hiyo ni kanuni ya kidunia. Ukiivunja utapata adhabu. Na adhabu moja wapo ni hizi SPANA dunia itakupiga spana up and down left, right and center lazima ujute kuzaliwaππππ.
#Spana kwa MASINGO MAZA ni takwa la kikanuni za kiduniaπ€
HaduJaribu kukua basi,kama huwezi hudumia mwanamke piga nyeto,acha kusumbua watu kwani huyo singo maza alijizalisha.
Wanawake wanamapungufu yao,nasi pia tunayo mengi tu tukianza na tamaa ya ngono ndio chanzo kikubwa cha sisi wanaume kuwafuata..tukipewa yukadunga mimba safari imewadia.
All in all Mungu awape kusimama kiuchumi single maza wahdhumie watoto wao bila kudharauriwa na mazazi kama wewe mleta uzii
Usingo maza ni chata yaani ni kama kovu la kuungua na moto, hata ufanyaje utabaki SINGO MAZA.Ni huko kwenu na hapa jf
Mabint wa mamaang Mkubwa mmoja alipata mimba akiwa 4m 4 akazaa na bahat mbaya alipata mimba ya kijana mwanafunz mwenzie na ameolewa mwanae akiwa na mwaka tu na Wana ndoa ya miak 5 na mumew na watoto wengine wawil wanapendana balaa
Mwingine aliolewa akazaa akaachika now kaolewa na mwanaume Hana mtoto na hajamzalia bado na wanapendana mfano hakuna
Nyie mateeegers ndio mnaongea hayo ila wanaume kamili wanaoa safi tu alafu wanazaa nao pia pole sana
Kabla hujafa usimalize maneno. Ipo siku mkeo anaweza kuwa single mother akiwa na wanao wakati huo wewe huenda haupo Duniani au hauna uwezo wa kuwahudumia. Mwanamke atafanya kila awezalo kuhakikisha mwanae anapata mahitaji yake ya siku bila kujalisha inamgharimu kiasi gani. Binafsi sijaoa single mother ila popote walipo wajue nawaheshimu sana bila kujali nini kilitokea mpaka wakajikuta single.Yaani nimeopoa Dem mkali kuja kushtukia ana watoto wawili alafu ni 24 tu ukimuangalia ni msafi ukimuacha ndani unakuta mazingira safi chakula kizuri na.kana heshima ila ukimuacha tu inabidi umuachie hela ya matumizi ya ndani alafu atakwambia naomba hela nitume nyumbani wanangu wale yaani watoto wanamtegemea ukimuuliza baba yao yupo.wapi anakwambia kashaowa. Hivyo.hausiki na malezi ya watoto
Yaani nitoke niache 10,000 ,12000 mezani alafu nitoe tena 7000 atume kwao nikaona hapa sio pa kuweka kambi nikamwambia tu nna ugeni wa ndugu zangu hivyo aende kwao wakiondoka atarudi
Ingekuwa wewe ungekaa nimetimua mbio yeye.mwenyewe haamini kataa single mother kwa usalama wako
Umeandika vizur mno hakuna ajuaye kesho yakeKabla hujafa usimalize maneno. Ipo siku mkeo anaweza kuwa single mother akiwa na wanao wakati huo wewe huenda haupo Duniani au hauna uwezo wa kuwahudumia. Mwanamke atafanya kila awezalo kuhakikisha mwanae anapata mahitaji yake ya siku bila kujalisha inamgharimu kiasi gani. Binafsi sijaoa single mother ila popote walipo wajue nawaheshimu sana bila kujali nini kilitokea mpaka wakajikuta single.
Tuwatanie ila tusiwaguse viumbe (watoto) wa Mungu.
Mbona wewe umesimulia anadau Tv INchi 55?Hauna hela bana!! Yani buku7 umeombwa umekuja kulia lia huku? Nyie vijana wa2000 ni shida sana kila kitu ukiambiwa na mwanamke unakuja kusimulia, saidia uyo manzi kwa icho kidogo alicho omba!! Mimi nipo na single lady na hapa anadai tv inches55πππ wewe buku7 umekuja kutusimulia
Lakini wengine kweli ni pasua kichwa. Wamepata walichotafutaKabla hujafa usimalize maneno. Ipo siku mkeo anaweza kuwa single mother akiwa na wanao wakati huo wewe huenda haupo Duniani au hauna uwezo wa kuwahudumia. Mwanamke atafanya kila awezalo kuhakikisha mwanae anapata mahitaji yake ya siku bila kujalisha inamgharimu kiasi gani. Binafsi sijaoa single mother ila popote walipo wajue nawaheshimu sana bila kujali nini kilitokea mpaka wakajikuta single.
Tuwatanie ila tusiwaguse viumbe (watoto) wa Mungu.
Itasaidia sana. Boda boda wanazaa mitaani kama PanyaWanaume tunzeni watoto mnaozaa.
Hahaha...bora aliyetoa mimba ila sio single maza.We jamaa umefukuza mali ya maana sana sasa tafuta huyo umtakae ambae ni malaika alitoa mimba kama tisa