Kwa nilichomjibu huyu dada nahisi ataghairi kwa muda kuomba wanaume hela

Kwa nilichomjibu huyu dada nahisi ataghairi kwa muda kuomba wanaume hela

Wewe mwenyewe umeanza ongelea mambo ya kwenda kwny migahawa akajua pesa ipo hapa na inatoka kiurahisi
 
mi binafsi kuomba omba ela siwezi, nasema huyo mdada uliyemtolea nje pengine alikua anakupima, kila mtu ana njia zake za kumfanyia mtu wake investigations kwenye suala la uchumi
Wewe njia zako ni zipi naomba ututajie tupate darasa.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Nyie mnaosema binti angepewa tu pesa je mpo tayari ata watoto wenu wa kike wapewe pesa ? Huko tuendako yaan wauze mbususu?
 
Back
Top Bottom