edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
Basi huyo mtu tegemezi sana hafai kwa jamiiWengi wanapenda kuwa sehemu yenye uwezo wa kutatua shida za kiuchumi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi huyo mtu tegemezi sana hafai kwa jamiiWengi wanapenda kuwa sehemu yenye uwezo wa kutatua shida za kiuchumi
Wengi ndio wako hivyo; ni omba ombaBasi huyo mtu tegemezi sana hafai kwa jamii
Mtumie kifurushi cha sms atakucheck🤔Wiki iliopita nilikutana na dada njiani hapa mtaani kwetu, nikamuomba namba akanipa, baadaye nikamwambia atafute siku tuonane kwenye mgahawa/restaurant for a lunch date, tufahamiane zaidi, akakubali. Heee, nimechukua namba yake leo, kesho yake kama kawaida yao si akaniomba elfu 20!
Nikamwambia abadilishe staili ya kukataa wanaume, kupiga mzinga/kuomba hela chap imepitwa na wakati. Nikamwambia napenda kusaidia watu, mimi sio mchoyo, ila sitapeliwi kijinga.
Nikamwambia kama alikuwa hanitaki angeniambia live na ningemwelewa, pia nikamwambia kuwa sinunuagi mwanamke!
Hakujibu, mpaka leo nasubiri anijibu, hajanijibu, sijui ameishiwa sms!
Hela ya kula afadhali asife.Kashakufanya baba ake,kuna moja hilo nmeomba namba limenipa kesho yake linaomba hela ya kula dah[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mademu muwe na huruma na wenzenu jaman.
Sema nimempa,na akaja na kali ingine mama ake anaumwa so kila mwanafamilia anatakiwa atoe 20k,ili apelekwe hospital nikampa.
Akaja na hela ya umeme,nikampa.
Akaja home,nikamla once or twice nikapiga chini.
Akadhani bado nna ina shida naye,akaja na hii naenda dodoma babu kafariki naomba nauli,nikakausha.
Akiwa huko akamaliza huo msiba,(sjui kama ni kweli though),akaja na ntumie nauli nirudi.
Nikamwambia kwani uliendaje,akasema alikopa kopa,nikamwambia kopa tena.
Mpaka leo,sijatuma chochote,najua atarudi tu,akija namla,aspokuja atajua mwenyewe.
Demu ana tako huyoooo,lahaula walakuwata.
Atleast wewe una hoja.Tatizo tunawatumia sana. Unakuta huyo ameanza kudanganywa akiwa na miaka 16. Anatongozwa anaingiliwa anakimbiwa. Inafika kipindi kila anayemsemesha anajua litakalofata, anaachana na mapenzi anatanguliza fedha.
Next time jifunze kutafuta walala hoi wenzako kijana wangu ili uepuke kucheka kama ulivyocheka. Hiyo hela ni ndogo sana siyo hata ya kuja kuandikia malalamiko JF. Hiyo si ni vocha tu ya week 2?! Hata simu ya maana hupati dukani.Hela ya kula afadhali asife.
Kuna mmoja tulitoka out for the first time, na ilikuwa sehemu nzuri na alijihudumia alivyotaka...baada ya stori za kawaida za hapa na pale ghafla...baby[emoji849][emoji849]
You know what?
A day after 2moro..ni siku yangu ya kuzaliwa.
Mahitaji gauni la 350k
Viatu 180k
Keki 120k
NA 800k ya kuandaa sherehe.
Hapo sijamtongoza ma nilikuwa sitarajii kumtongoza hata karibuni..
Moyoni nilicheeeka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo Hela ni ndogo mzee[emoji23][emoji1544] acha zakoNext time jifunze kutafuta walala hoi wenzako kijana wangu ili uepuke kucheka kama ulivyocheka. Hiyo hela ni ndogo sana siyo hata ya kuja kuandikia malalamiko JF. Hiyo si ni vocha tu ya week 2?! Hata simu ya maana hupati dukani.
Mizigo hiyo achia wenye hela zao na si za mawazo kijana wangu.
Unaandika huku roho inakusuta kwasababu uhalisia wa life yako hujawahi honga hata 100k.Next time jifunze kutafuta walala hoi wenzako kijana wangu ili uepuke kucheka kama ulivyocheka. Hiyo hela ni ndogo sana siyo hata ya kuja kuandikia malalamiko JF. Hiyo si ni vocha tu ya week 2?! Hata simu ya maana hupati dukani.
Mizigo hiyo achia wenye hela zao na si za mawazo kijana wangu.
Wewe ndo unashida, ulichukua namba yake ya nini? Na ukafikiri ukishachukua ndo kawa wako? Kama yeye alivyokuwa mjinga ndivyo na wewe ni mjinga.Wiki iliopita nilikutana na dada njiani hapa mtaani kwetu, nikamuomba namba akanipa, baadaye nikamwambia atafute siku tuonane kwenye mgahawa/restaurant for a lunch date, tufahamiane zaidi, akakubali. Heee, nimechukua namba yake leo, kesho yake kama kawaida yao si akaniomba elfu 20!
Nikamwambia abadilishe staili ya kukataa wanaume, kupiga mzinga/kuomba hela chap imepitwa na wakati. Nikamwambia napenda kusaidia watu, mimi sio mchoyo, ila sitapeliwi kijinga.
Nikamwambia kama alikuwa hanitaki angeniambia live na ningemwelewa, pia nikamwambia kuwa sinunuagi mwanamke!
Hakujibu, mpaka leo nasubiri anijibu, hajanijibu, sijui ameishiwa sms!
Komementi ya kizandiki sana kwa fukaraNext time jifunze kutafuta walala hoi wenzako kijana wangu ili uepuke kucheka kama ulivyocheka. Hiyo hela ni ndogo sana siyo hata ya kuja kuandikia malalamiko JF. Hiyo si ni vocha tu ya week 2?! Hata simu ya maana hupati dukani.
Mizigo hiyo achia wenye hela zao na si za mawazo kijana wangu.
Sijawahi honga 100K? Kijana acha ubahili. Hiyo 1500K ni marupurupu ya mwezi tu, achilia mshahara. Nimesikitika mno. Kijana zingatia ushauri wangu. Watafute akina Mwajuma na Hadija hutojutia. Huko waachie wenye meno. Hiyo hela ungeomba mzigo 'kisela' kisha ukahonga baada ya kupewa. Kijana hujui kujiongeza? Warembo wanataka hela si za mawazo kijana.Unaandika huku roho inakusuta kwasababu uhalisia wa life yako hujawahi honga hata 100k.
Hivi 1,500,000/= niitupe tu bila sababu kwa mtu sio mpenzi, sio rafiki wala ndgu?
Kwanza wewe una mawzo ya kihuni na hujui lolote[emoji23][emoji23][emoji23]
Tajiri Mo bilionea wenu hata 50k hakupi bure sembuse mimi?
Haya wamekusikia wanakuja.Sijawahi honga 100K? Kijana acha ubahili. Hiyo 1500K ni marupurupu ya mwezi tu, achilia mshahara. Nimesikitika mno. Kijana zingatia ushauri wangu. Watafute akina Mwajuma na Hadija hutojutia. Huko waachie wenye meno. Hiyo hela ungeomba mzigo 'kisela' kisha ukahonga baada ya kupewa. Kijana hujui kujiongeza? Warembo wanataka hela si za mawazo kijana.
"Dick-Heads" ni wengi sana kwenye jamii yetu ya kitanzania.Hasa wasiokuwa na shughuli ya kufanya.
Wanasemaga hivi;
Mjini msingi kiuno.
Ila kuna midume mingine nayo ni ya hovyo kweli kweli. Muda wote wao kutongoza tongoza ovyo kwa mwanamke yeyote wanayemuona.
Mtaji wa mtu,huo.Heshimu pesa.Tafuta hela...20,000..sio hela ya kutukana watu
Hamna ni uchoyo tu umewajaa
Mkuu mwanamke kapima upendo kwa kuomba elf 20 na Mwanaume kapima upendo kwa kumnyima elf 20, kwa hiyo ngoma droo wao bila yeye sifuri.Wengi wanapenda kupima uwezo wa kifedha kwa mwanaume aliyenaye, inawezekana alikuwa haitaji hiyo fedha kwa wakati huo, ila alikuwa anataka akupime uwezo wako.
Hivi kiswahili na English ipi lugha ngumu kwenye uandishi?Utafilisika sio utafirisika