Kwa nilichomjibu huyu dada nahisi ataghairi kwa muda kuomba wanaume hela

Kwa nilichomjibu huyu dada nahisi ataghairi kwa muda kuomba wanaume hela

Wengi wanapenda kupima uwezo wa kifedha kwa mwanaume aliyenaye, inawezekana alikuwa haitaji hiyo fedha kwa wakati huo, ila alikuwa anataka akupime uwezo wako.
Kama ni hivyo basi hiyo mbinu ya upimaji haijakaa poa,kuomba omba hela hovyo hovyo ni kujishusha hadhi.
 
Wanawake sijui wameligwa ama VP. Yaani unamsalimia tu hi , jibu unalokutana nalo eti Fanya mpango nipate chai! Hakujui Wala humjui
 
Mwanaume wa maana ndio anaombwa hela kabla hata ya first date? [emoji1787] Au huko kwenye hio 1st date ndio unaenda kuonyesha ushamba zaidi ukihisi kuagiza vya gharama ndio utaonekana classic? [emoji1787]
No unatakiwa uwe mpole kiasi sio unaparamia vitu kama kwenu huwa huli,
 
😊😅🤣 make kwanza nicheke, ila wadada jamani inabidi ifike hatua tubadilike elfu 20 kweli..., ila na we jamaa acha ubahiri utakosa mke kizembe we jiendekeze tu
 
Wiki iliyopita Alhamisi nilikuwa narudi maskani nikakutana na bidada kabeba jiko la mkaa kichwani na kiContainer mkononi papohapo akiwa kadaka dela lake(ile style yao ya kuyakusanya mkononi).Ikawa;-
Mimi:Mambo?
Yeye😛oa
Mimi:nikusaidie kubeba?
Yeye:Yani nimechoka we acha tu
Mimi:Hujajibu swali,nimeuliza nikusaidie kubeba?!
Yeye:sawa

Nikamsaidia ikafika mbele kidogo hapo kila mtu akawa anatawanyika njia yake nikampa jiko lake.Akauliza naishi wapi,nkamwambia hapo mbele tu.Mara mkeo yupo?😂Dah nkaona hii kali nkamwambia sijaoa,sasa ile time nafikiria labda niombe namba Manzi akaniuliza namba yako ni 07 ngapi mbele😆nkaona kishaumana nikamtajia fresh tukaachana pale.
Ikapita io siku hakunitafuta me nikawa nimetulia.Kesho yake napita pale Nyerere Bridge ikajiona ikanisimamisha et namba yako cp mbona naitafuta inazingua,nikadhani labda alikosea kuandika kwahiyo nikaanda mwenyewe kwenye simu yake nikampa na hiyo siku pia kimya.
Zimepita siku kama tatu au nne hv nikakutana nayo kitaa,yenyeweilikuwa mbele ikaniona ikanisubiri tena eti mbona namba yako siipati?,nikaandika yake kwangu nikampigia hapohapo.Anauliza kwahiyo nikutafute saa ngapi au utanitafuta saa ngapi?!😃Manzi anauliza hivo mkavu kichizi,Nikamwambia mida mida sahivi kuna mikakati nafatilia.Baadae yake night ikanitafuta kwa namba nyingine niipigie kwenye simu yake kwamba haina salio😃Maongezi hata hayajafika sekunde 5 nikaskia mwenzio nina shida My please😆😆nikajua kwisha. Nikamwambia duniani kuna shida nyingi sasa yako ni ipi?!.Eti natakiwa niende kwenye msiba sijui wapi(nmesahau)na nauli 64000/= ila nnayo kidogo niongezee basi😂😂nikamwambia sina mikakati imekaza na hela nilikuwa nayo
Sasa nikajiuliza huyu demu siku zote kakomaliza namba ili aniombe hiyo hela?,ina maana msiba haujaisha siku zite hizo..Mpaka sahivi haijajitafuta😃
 
Mi niliambiwa ukweli kwamba hayupo interested na mimi ila yupo willing kuspend dinner na mimi mara zote ninazotaka.

Mi nikahisi labda after some time atanielewa. Nikashangaa napasuka daily ila bado sieleweki

Nikanyoosha mikono juu, nikastep back
Kijana una gundu
 
[emoji4][emoji28][emoji1787] make kwanza nicheke, ila wadada jamani inabidi ifike hatua tubadilike elfu 20 kweli..., ila na we jamaa acha ubahiri utakosa mke kizembe we jiendekeze tu
Utakufa vibaya sana ukiendelea na ukindele huu!.
 
pengine alikua anakupima tu,
Wanaume wengi wa sahivi jinsi tulivyokwisha jeruhiwa kihisia na hii style ya kuombwa hela muda mfupi baada ya kutongoza, kama kila mwanaume anaekutana nae anampima kwa staili hiyo, mbona atajiona ana mkosi kwenye mapenzi Leejay49
 
Back
Top Bottom