Kwa nilichomjibu huyu dada nahisi ataghairi kwa muda kuomba wanaume hela

Kwa nilichomjibu huyu dada nahisi ataghairi kwa muda kuomba wanaume hela

Unamapungufu makubwa ndiyo maana unatumia pesa kuficha hayo mapungufu.
During of my heyday nilikuwa nacheza show tofauti tofauti kwa free Africa.
Mnyange anaogopa kukuomba fungu kwa hofu kuwa atakukimbiza.
Hujanielewa kabisa. Hebu soma post yote then usome niliyem quote, mwisho soma comment yangu.
 
Mwisho wa siku wanakuitwa bwege ukiwa unawatumia tumia Hela kirahisi rahisi.

Hizi mbinu hazina mwenyewe na pia inategemea umekutana na mwanamke wa aina Gani.!?

Wako ambao kwa hio approach Yako ndio wanafall zaidi inakuwa kama chambo kumpata tena na tena

Ila Kuna wale makonki anakula Hela zako na hupati kitu hupati hata busu unakuwa unafanya kazi ya kanisa[emoji1]usawa huu.

Solution ni Kila mtu afanye kile moyo utapata amani na faraja
Kabisa. Vijana washinde mechi zao kila mmoja kwenye part yake. Wasiingiliane.
 
Mwanaume wa maana ndio anaombwa hela kabla hata ya first date? [emoji1787] Au huko kwenye hio 1st date ndio unaenda kuonyesha ushamba zaidi ukihisi kuagiza vya gharama ndio utaonekana classic? [emoji1787]
You are very intelligent son
 
Wiki iliopita nilikutana na dada njiani hapa mtaani kwetu, nikamuomba namba akanipa, baadaye nikamwambia atafute siku tuonane kwenye mgahawa/restaurant for a lunch date, tufahamiane zaidi, akakubali. Heee, nimechukua namba yake leo, kesho yake kama kawaida yao si akaniomba elfu 20!

Nikamwambia abadilishe staili ya kukataa wanaume, kupiga mzinga/kuomba hela chap imepitwa na wakati. Nikamwambia napenda kusaidia watu, mimi sio mchoyo, ila sitapeliwi kijinga.

Nikamwambia kama alikuwa hanitaki angeniambia live na ningemwelewa, pia nikamwambia kuwa sinunuagi mwanamke!

Hakujibu, mpaka leo nasubiri anijibu, hajanijibu, sijui ameishiwa sms!
Nipo busy sana kutafuta majibu[emoji16][emoji16][emoji2960]
JamiiForums-917047017.jpg
 
Mi niliambiwa ukweli kwamba hayupo interested na mimi ila yupo willing kuspend dinner na mimi mara zote ninazotaka.

Mi nikahisi labda after some time atanielewa. Nikashangaa napasuka daily ila bado sieleweki

Nikanyoosha mikono juu, nikastep back
 
Wiki iliopita nilikutana na dada njiani hapa mtaani kwetu, nikamuomba namba akanipa, baadaye nikamwambia atafute siku tuonane kwenye mgahawa/restaurant for a lunch date, tufahamiane zaidi, akakubali. Heee, nimechukua namba yake leo, kesho yake kama kawaida yao si akaniomba elfu 20!

Nikamwambia abadilishe staili ya kukataa wanaume, kupiga mzinga/kuomba hela chap imepitwa na wakati. Nikamwambia napenda kusaidia watu, mimi sio mchoyo, ila sitapeliwi kijinga.

Nikamwambia kama alikuwa hanitaki angeniambia live na ningemwelewa, pia nikamwambia kuwa sinunuagi mwanamke!

Hakujibu, mpaka leo nasubiri anijibu, hajanijibu, sijui ameishiwa sms!
Sasa si umnunulie hata sms akujibu?
 
Ila wanaume wa hii generation ni wachoyo 20,000 tu kweli ya kumtangaza mwenzio jf duuh angekuomba ya maana si ungeomba umtangazi tbc habari. Labda hata alitaka ajipendezeshe for the date tu
Wewe ni jinsia gani?
HOja unatoa wapi ujasiri wa kumuomba mtu pesa hata 1000 ambaye sio rafiki, sio mpenzi na sio ndg yako?

Hoja sio 20k bali timing.
Huu utoto haufai kanisani wala msikitini.

Angesubiri wafahamiane, watongozane angalau angesaidika hata 200k na sio 20k tena.
Wanawake wajinga wanaudhi sana...
My concern ni timing timing timing na sio kiwango cha pesa
 
Wewe ni jinsia gani?
HOja unatoa wapi ujasiri wa kumuomba mtu pesa hata 1000 ambaye sio rafiki, sio mpenzi na sio ndg yako?

Hoja sio 20k bali timing.
Huu utoto hufai kanisani wala msikitini.

Angesubiri wafahamiane, watongizane angalau angesaidika hata 200k na sio 20k tena.
Wanawake wajinga wanaudhi sana...
My concern ni timing timing timing na sio kiwango cha pesa
A matter of fact[emoji28]
 
Kashakufanya baba ake,kuna moja hilo nmeomba namba limenipa kesho yake linaomba hela ya kula dah[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mademu muwe na huruma na wenzenu jaman.

Sema nimempa,na akaja na kali ingine mama ake anaumwa so kila mwanafamilia anatakiwa atoe 20k,ili apelekwe hospital nikampa.

Akaja na hela ya umeme,nikampa.

Akaja home,nikamla once or twice nikapiga chini.

Akadhani bado nna ina shida naye,akaja na hii naenda dodoma babu kafariki naomba nauli,nikakausha.

Akiwa huko akamaliza huo msiba,(sjui kama ni kweli though),akaja na ntumie nauli nirudi.

Nikamwambia kwani uliendaje,akasema alikopa kopa,nikamwambia kopa tena.

Mpaka leo,sijatuma chochote,najua atarudi tu,akija namla,aspokuja atajua mwenyewe.

Demu ana tako huyoooo,lahaula walakuwata.
 
Hivi vidada vinaomba sana Hela na ukiwazingatia ukawapa basi vinaona wameshakukamata akili vinaanza kukusumbua.

Nyie vidada sisi tunawapa Hela mkituomba ni kwa Sababu zipo ndani ya uwezo.
Kuwa makini na vizaramo na vimakonde,huwa vinarogaga kabisa uwe zoba kabisa.
 
Back
Top Bottom