Kwa nilichomjibu huyu dada nahisi ataghairi kwa muda kuomba wanaume hela

Kwa nilichomjibu huyu dada nahisi ataghairi kwa muda kuomba wanaume hela

Wiki iliopita nilikutana na dada njiani hapa mtaani kwetu, nikamuomba namba akanipa, baadaye nikamwambia atafute siku tuonane kwenye mgahawa/restaurant for a lunch date, tufahamiane zaidi, akakubali. Heee, nimechukua namba yake leo, kesho yake kama kawaida yao si akaniomba elfu 20!

Nikamwambia abadilishe staili ya kukataa wanaume, kupiga mzinga/kuomba hela chap imepitwa na wakati. Nikamwambia napenda kusaidia watu, mimi sio mchoyo, ila sitapeliwi kijinga.

Nikamwambia kama alikuwa hanitaki angeniambia live na ningemwelewa, pia nikamwambia kuwa sinunuagi uchi wa mwanamke!

Hakujibu, mpaka leo nasubiri anijibu, hajanijibu, sijui ameishiwa sms!
Aisee ulikaba kila Kona ,cjui atakua ana hali gani.Ungekua mwanaume boya boya angekupelekesha Kisha akuache kwenye mataa
 
Hivi vidada vinaomba sana Hela na ukiwazingatia ukawapa basi vinaona wameshakukamata akili vinaanza kukusumbua.

Nyie vidada sisi tunawapa Hela mkituomba ni kwa Sababu zipo ndani ya uwezo.
Hiv usipompa hiyo pesa ndo mahusiano yanakufa au atakuwa anakuvutia pumzi huku anangoja plan B na hiyo plan B huchomoi [emoji2297][emoji2297] ila ladies why
 
Ndio gia yao hio mkuu wasipokuelewa , akikuelewa haombi hela ya ata kama hana nauli ya kuja site ni bora apigwe na bodaboda ili kuliko kuua brand yake kwa kipenz cha roho yake
 
Ni kweli kabisa. Hadi sisi wenye nia ya kuoa tunashindwa kutofautisha yupi ni wife material na yupi ni kahaba
nafkili ni hivi kuna yule umekutana naye ,ye kweli anaomba pesa ya kawaida ambayo iko ndan ya bajet yako hata huumii ukisema sina anasema ukipata utanipa anavumilia na kesho anaanza yeye kukualimia tu na si kuomba pesa sabab ushamuhidi ila kuna mwingine ashafanya wewe ni Microfinace bank [emoji386]
 
Hiv usipompa hiyo pesa ndo mahusiano yanakufa au atakuwa anakuvutia pumzi huku anangoja plan B na hiyo plan B huchomoi [emoji2297][emoji2297] ila ladies why
Wewe ndiyo huchomoi bhana usijumuishe wanaume wengine
 
Wiki iliopita nilikutana na dada njiani hapa mtaani kwetu, nikamuomba namba akanipa, baadaye nikamwambia atafute siku tuonane kwenye mgahawa/restaurant for a lunch date, tufahamiane zaidi, akakubali. Heee, nimechukua namba yake leo, kesho yake kama kawaida yao si akaniomba elfu 20!

Nikamwambia abadilishe staili ya kukataa wanaume, kupiga mzinga/kuomba hela chap imepitwa na wakati. Nikamwambia napenda kusaidia watu, mimi sio mchoyo, ila sitapeliwi kijinga.

Nikamwambia kama alikuwa hanitaki angeniambia live na ningemwelewa, pia nikamwambia kuwa sinunuagi mwanamke!

Hakujibu, mpaka leo nasubiri anijibu, hajanijibu, sijui ameishiwa sms!
Atakupigia tu, atakwambia amekumisi!
 
Mie nimeolewa na nishaapa sitokuja kutoka nje ya ndoa,ila sasa wanaume wanatabia ya kutongoza tongoza inachosha kwakweli tangu binti unatongozwa mpaka mama bado unatongozwaga tu kiukweli sipendi sema utafanyeje
Kuwa na msimamo. Mungu atakusimamia, ukiweza watukane kama ni wabishi.
 
Ewe Mdada.. Ukitaka unifukuze niombe hela.

Mara nyingi huwa natoa kiasi alichoniomba bila hiyana.

Ila after kutuma hiyo hela ndio imeisha hiyo sikutafuti tena.
 
Mimi kuna mmoja amenipa no na kuomba vocha hapo hapo nikamwamaabia wewe ni mpumbavu na cheap sio wa hadhi yangu
Mwanamke mwenye shida ya elf 10 sio wa level yangu
Akafatilia akanijua mimi ni nan? Baada ya siku kadhaa akanifata na kuniambia anashukuru kwa nilivyomjibu imemsaiidia amejua alikuwa anakosea sana na hatokuwa cheap tena
 
Back
Top Bottom