Kwa nilichomjibu huyu dada nahisi ataghairi kwa muda kuomba wanaume hela

Kwa nilichomjibu huyu dada nahisi ataghairi kwa muda kuomba wanaume hela

Inawezekana alitaka kukuudhi mawasiliano yafe kwahiyo umeingia moja Kwa moja kwenye plan yake...

Next time kama amekuvutia kweli muulize hela ya nini...
Akisema ya saloon mwambie mbona ndogo?itamtosha?halafu mtumie mara 2 au 3 ya alioomba...
kwa hio style utafirisika mkuu. Na madem wa siku hz ukiwa mtoaji ndo wanakuona boya wa mwisho kabisa.
 
Lakini nilivomuelewa macho_mdiliko ni kwamba hela imetumika kama mtihani(mtihani si lazima uwe mgumu) alafu ukifaulu unamwagiliwa mbussu[emoji23]
Hahahah demu kama hajakupenda anakula elfu ishirini halafu analeta na dharau juu kwamba kwa vile umempa elfu 20 ndio unaona imekuwa sababu ya kumsumbua sumbua.
 
Hapana,hata kama mtu ulikuwa na mpango mzuri naye unamdisvalue mda huohuo,hiyo cha mtoto mtoko wenyewe ndo angejua hajui
Mwanamke ukikaa hovyohovyo usitegemee kupata mwanaume wa maana
Mwanaume wa maana ndio anaombwa hela kabla hata ya first date? 🤣 Au huko kwenye hio 1st date ndio unaenda kuonyesha ushamba zaidi ukihisi kuagiza vya gharama ndio utaonekana classic? 🤣
 
Ni kweli kabisa. Hadi sisi wenye nia ya kuoa tunashindwa kutofautisha yupi ni wife material na yupi ni kahaba
Tatizo liko kwenye nywele za rasta za kumwagika mgongoni,rangi za kucha na kucha za bandia,suruali za kubana ili vihipsi vichomoze,kusuguliwa miguu na mapaja,my friend umeshawahi kujiuliza hela wanapata wapi? NA ukute hela alikopa,hasira zote zinakuishia wewe...
 
Mi namlaumu mdada,amejidhalilisha na nyie wanaume mmezidi kuomba namba,mie kuna laini yangu huwa hewani maramoja moja yaani sinaga kazi nayo ndo huwa nawapa sipendi kutongozwa tongozwa
Kama umeolewa au una mtu wako permanent ni vyema hata usitoe namba kabisa, ila kama upo single usitubanie bhana toa namba tujenge maisha.
 
Back
Top Bottom