Kwa nilichomjibu huyu dada nahisi ataghairi kwa muda kuomba wanaume hela

Kwa nilichomjibu huyu dada nahisi ataghairi kwa muda kuomba wanaume hela

Kama umeolewa au una mtu wako permanent ni vyema hata usitoe namba kabisa, ila kama upo single usitubanie bhana toa namba tujenge maisha.
Mie nimeolewa na nishaapa sitokuja kutoka nje ya ndoa,ila sasa wanaume wanatabia ya kutongoza tongoza inachosha kwakweli tangu binti unatongozwa mpaka mama bado unatongozwaga tu kiukweli sipendi sema utafanyeje
 
Hahahaha, mkuu hawa wadada wamekua na ka'ujinga flani ivi..

Jumanne kuna mmoja tumechat kidogo tu, nikagusia tupate mda tuspend tukiwa wawili (tukulane), zikaanza stori kua yuko bize na kazi, na katikati ya wiki hana mda kabisa, ni mpaka jpili nayo ni lisaa au mawili ndo anakua free.

Nikampotezea, jioni nikaombwa nimkopeshe laki 1 [emoji23]. Eti atanilipa mwisho wa mwezi (nikamwambia mshahara bado hujaingia mpaka trh 5-7)

Kesho yake kuchat kidogo tuu, usiku nikaombwa elfu 30 ya kusuka (nikamuambia hii unatakiwa tukutane sehemu tutulie nikupe,na pia katikati ya wiki alisema yuko bize na kazi sasa uo muda wa kusuka atautolea wapi.?, Ikawa hana jipya zaidi ya kuomba nimpe)mwanzo mwisho akakomaa nimtumie. Na mimi nikachomoa, nikamuambia apa jpili tukionana ntakupa iyo ela [emoji23]..

Apa nazidi kumuona uyu ni malaya tuu,
 
Mwanamke wa hivi naye anaolewa[emoji23][emoji23][emoji23], basi ajichumiaye janga........ Utamalizia. Hata niwe stable kiuchumi kiasi gani, nipo kwenye miaka yangu ya late 20s pesa yangu yote niyakujenga maisha yangu kwanza ili nitulie kwa amani nguvu ikianza kupungua. Sasa mke chuma ulete atanirudisha nyuma mno tena mno maana anajiwazia yeye na sio familia na maendeleo. Kuchagua mke sio kazi rahisi!
Late 20's? Huna hela yoyote dogo. >% bado upo kwa baba/mama au sekondari, chuo mchundo au diploma/certificate.

Vinginevyo umepanga geto la huko sokota kwa wasela mavi wenzako.
 
Late 20's? Huna hela yoyote dogo. >% bado upo kwa baba/mama au sekondari, chuo mchundo au diploma/certificate.

Vinginevyo umepanga geto la huko sokota kwa wasela mavi wenzako.
Wewe ndio upo kwenu, watu wanamaliza chuo na 24 na ni medicine na kazi mtu anamiaka mitatu😂😂😂😂😂. Usikariri chief! Nakazi mtu anapata ya mshahara mkubwa na kusafiri kila leo😂😂😂😂, narudia acha kukariri. Ukae Dar kwani makao makuu ya nchi ni Dar au Dom😂😂😂. Usikariri, watu wote hawaanzi shule na miaka 7, sawa mkuu. Umeshafika chuo unakaa kwababa na mama ugundue nini. Boss, maisha uliyopitia wewe sio kila mtu anapitia😂😂😂😂 hivyo. Maisha ni kupanga na bahati ya mwenyezi Mungu, sawa. Kama mtu mzima basi akili ifunguke sasa, dunia ya sasa sio ya kipindi kile😂😂😂. Ukiambiwa vijana waliopewa vyeo vikubwa kwakipindi hiki huwezi amini ni vijana wadogo sana tena sana. Hatupo miaka ya 1990s, jenga maisha yako acha visingizio, ukichelewa ni either bahati mbaya au wewe ni mvivu, sawasawa mkuu.
 
Mwanamke wa hivi naye anaolewa
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
, basi ajichumiaye janga........ Utamalizia. Hata niwe stable kiuchumi kiasi gani, nipo kwenye miaka yangu ya late 20s pesa yangu yote niyakujenga maisha yangu kwanza ili nitulie kwa amani nguvu ikianza kupungua
💯🤝
 
Back
Top Bottom