GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Kwakuwa umeshasema Wewe ni Mtani wangu ukimaamisha utakuwa ni Mhaya, Mnyaturu, Muha, Mnyiramba, Mrangi, Mkara, Mkerewe na Mnyamwezi rukhsa ambao Nawapenda mno rukhsa kabisa Kunitania utakavyo, ila nikigundua hutoki katika haya Makabila tajwa hapa hakyamungu Utanitambua.Mimi ni mtani wako...madongo ni halali yangu acha ubwege🤣🤣🤣
Hutaki kumsikia Matola kabisa🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.Kwakuwa umeshasema Wewe ni Mtani wangu ukimaamisha utakuwa ni Mhaya, Mnyaturu, Muha, Mnyiramba, Mrangi, Mkara, Mkerewe na Mnyamwezi rukhsa ambao Nawapenda mno rukhsa kabisa Kunitania utakavyo, ila nikigundua hutoki katika haya Makabila tajwa hapa hakyamungu Utanitambua.
Kutokana na Upumbavu wako.Nyasa Big Bullets walikuangusha
Kwa huu Mfumo wako tutafungwa 5.Mm nadhani 3-5-2 ni mfumo mzuri Wing back zinapanda na kushuka hapo ndio namkumbuka Chris Mugalu hio kazi ya kukaa kule mbele alikua anaiweza vizuri
Nyasa uliitabiria mambo mema ikapigwa nje ndani. Vijana wa Kasumulo walikuangushaKutokana na Upumbavu wako.
Acha wivu kwani Matola akiwepo Simba wewe huwezi kuishi?utafika wakati ataondoka sio Kwa kutaka weweMkuu me kitu ambacho nmefeli kuelewa ktk klabu yetu ya Simba ni majukumu ya matola.
Timu ikfny vbaya watakaotupiwa virago ni kocha mkuu,,kocha wa viungo,,kocha wa makipa,, sometimes meneja wa timu.
It means hao ndio wanaowajbka na matokeo ya timu.
for six consecutive years nime-note benchi la ufundi lktimuliwa mshkaj matola anabakishwa.
Directly utajua matola hawajbk kwny matokeo ya timu.
Viongoz wa Simba tujuzeni majukumu ya matola
Sio wivu ndugu,,, nahtaji kujua majukumu yakeAcha wivu kwani Matola akiwepo Simba wewe huwezi kuishi?utafika wakati ataondoka sio Kwa kutaka wewe
Au matola kama mwnykt wa chama flan Cha siasa?Sio wivu ndugu,,, nahtaji kujua majukumu yake
Libolo ndugu wa hawa jamaa walifanya hivyo kwa timu yetu pendwa ya makoloMwenye uzoefu wa kupigwa nje ndani anajulikana
We mpira unasimuliwa tuLibolo ndugu wa hawa jamaa walifanya hivyo kwa timu yetu pendwa ya makolo
Hii ndo first eleven ya simba? Kweli timu hamna hapa.Waangola ni wazuri sana,,ila hakuna atakae pokea ushauri wako...coz Simba usanii mwng sana,,timu anapanga bocco na matola.
Timu inatakiwa iwe hivi: manila, Israel,tshabalala,inonga,,Kennedy,,mkude,,mzamiru,,kanoute,,phiri,,, okra,,kibu