Kwa nilivyowaona Waangola na wanavyotisha naomba kocha Mgunda acheze mfumo wa kikatili wa 4-5-1 tu

Mimi ni mtani wako...madongo ni halali yangu acha ubwege🤣🤣🤣
Hutaki kumsikia Matola kabisa🤣🤣🤣🤣🤣
Kwakuwa umeshasema Wewe ni Mtani wangu ukimaamisha utakuwa ni Mhaya, Mnyaturu, Muha, Mnyiramba, Mrangi, Mkara, Mkerewe na Mnyamwezi rukhsa ambao Nawapenda mno rukhsa kabisa Kunitania utakavyo, ila nikigundua hutoki katika haya Makabila tajwa hapa hakyamungu Utanitambua.
 
Mkuu me kitu ambacho nmefeli kuelewa ktk klabu yetu ya Simba ni majukumu ya matola.
Timu ikfny vbaya watakaotupiwa virago ni kocha mkuu,,kocha wa viungo,,kocha wa makipa,, sometimes meneja wa timu.
It means hao ndio wanaowajbka na matokeo ya timu.
for six consecutive years nime-note benchi la ufundi lktimuliwa mshkaj matola anabakishwa.
Directly utajua matola hawajbk kwny matokeo ya timu.
Viongoz wa Simba tujuzeni majukumu ya matola
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Mtani lkn yule bwege tusimuache hivi hivi kwani anakera sana.
Nakushauri tuunde timu tumshughulikie🤣🤣🤣
 
Mkuu me kitu ambacho nmefeli kuelewa ktk klabu yetu ya Simba ni majukumu ya matola.
Timu ikfny vbaya watakaotupiwa virago ni kocha mkuu,,kocha wa viungo,,kocha wa makipa,, sometimes meneja wa timu.
It means hao ndio wanaowajbka na matokeo ya timu.
for six consecutive years nime-note benchi la ufundi lktimuliwa mshkaj matola anabakishwa.
Directly utajua matola hawajbk kwny matokeo ya timu.
Viongoz wa Simba tujuzeni majukumu ya matola
Acha wivu kwani Matola akiwepo Simba wewe huwezi kuishi?utafika wakati ataondoka sio Kwa kutaka wewe
 
Mashabiki wa hovyo hovyo mpo wengi sana,hamna imani na timu yenu afu ikishashinda mnakaa kimyaaaa ..
 
Wazo zuri, lakini Simba haipaswi kucheza Kwa woga. Mechi iko live Kila kitu kitaonekana.
 
Waangola ni wazuri sana,,ila hakuna atakae pokea ushauri wako...coz Simba usanii mwng sana,,timu anapanga bocco na matola.
Timu inatakiwa iwe hivi: manila, Israel,tshabalala,inonga,,Kennedy,,mkude,,mzamiru,,kanoute,,phiri,,, okra,,kibu
Hii ndo first eleven ya simba? Kweli timu hamna hapa.
 
Back
Top Bottom