GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Kwakuwa umeshasema Wewe ni Mtani wangu ukimaamisha utakuwa ni Mhaya, Mnyaturu, Muha, Mnyiramba, Mrangi, Mkara, Mkerewe na Mnyamwezi rukhsa ambao Nawapenda mno rukhsa kabisa Kunitania utakavyo, ila nikigundua hutoki katika haya Makabila tajwa hapa hakyamungu Utanitambua.Mimi ni mtani wako...madongo ni halali yangu acha ubwege🤣🤣🤣
Hutaki kumsikia Matola kabisa🤣🤣🤣🤣🤣