Kwa niliyoshuhudia leo. Jamani tuwaheshimu sana Hawa watu. Tusije pata dhambi za bure tu

Kwa niliyoshuhudia leo. Jamani tuwaheshimu sana Hawa watu. Tusije pata dhambi za bure tu

DSTV ikinyesha mvua pia haioneshi, acheni uongo, mi natumia DSTV na inakata wakati wa mvua.
Pendeni vitu vya kwenu, ndio maana hatuna maendeleo, tunaamini vya nje ni bora kuliko sisi.
 
Hata Dstv walianza km Azam ,muda utaongeaa nao Azam watakuwa km Dstv na Dstv itakuwaa zaidi ya Azam n swala la mudaa.hata ww ufanani na jiran yako kimapato wala ulaji wako cha msingi kila mtu aplay nafac yake hapo alipo ss,,,DSTV +AZAM

Sent using Jamii Forums mobile app
Swala tena? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Umeongea nkajua umeona mmama anajifungua
Hivyo tuwaheshimu wa mama kumbe dstv
We jamaa
Sasa wewe unaendaje kuangalia mmama anavyojifungua? Ndo maana hamna maadili nyie vijana. Sisi miaka yetu ile ilikuwa ni taboo. Yaani utatengwa kijijini mtoto kwenda angalia mwanamke anavyojifungua.
 
D
elewi huyu dogo wa azamito. Anataka linganisha DSTV na upuuzi wa Azam.
DStv huganda Sana tu ikinyesha mvua,hatujaanza kutumia leo
 
Iwe DSTV, iwe Azam, iwe Startimes, iwe mawasiliano ya simu...mvua ni moja ya chanzo cha kinacho degrade transmission
 
DSTV ikinyesha mvua pia haioneshi, acheni uongo, mi natumia DSTV na inakata wakati wa mvua.
Pendeni vitu vya kwenu, ndio maana hatuna maendeleo, tunaamini vya nje ni bora kuliko sisi.
Hatuna maendeleo sababu hatutaki kukosoa vyetu viwe bora tunasifia ujinga
 
Hivi hata wanaotumia king'amuzi cha antena wanapata hii taabu pia?
 
DSTV waheshimiwe sana. Haka kamvua kidogo tu AZAM haioneshi. Yaani imekata matangazo kabisa.

Kwa manyunyu tu. Tuwaheshimu sana. Miaka yote natumia DSTV hawajawahi kuwa waduanzi hata kidogo.
Nikawa nafikri labda ni kwangu tu kumbe ni sehemu zote? Ningeliwa hela mimi!😁😁😁
 
Back
Top Bottom