Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa wanajaribu sana kuichafua na DSTV ila wanajikuta wanaumbuka.Dstv haijawah ganda
Swala tena? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hata Dstv walianza km Azam ,muda utaongeaa nao Azam watakuwa km Dstv na Dstv itakuwaa zaidi ya Azam n swala la mudaa.hata ww ufanani na jiran yako kimapato wala ulaji wako cha msingi kila mtu aplay nafac yake hapo alipo ss,,,DSTV +AZAM
Sent using Jamii Forums mobile app
Haelewi huyu dogo wa azamito. Anataka linganisha DSTV na upuuzi wa Azam.Tatizo ni ulivyofunga dish
Sasa wewe unaendaje kuangalia mmama anavyojifungua? Ndo maana hamna maadili nyie vijana. Sisi miaka yetu ile ilikuwa ni taboo. Yaani utatengwa kijijini mtoto kwenda angalia mwanamke anavyojifungua.Umeongea nkajua umeona mmama anajifungua
Hivyo tuwaheshimu wa mama kumbe dstv
We jamaa
Haiwezekani DSTV kuganga kindezi kama Azam. DSTV ikiganda hadi saa yako inakuwa imeganda.Natumia vyote hata hilo dstv linaganda
Hatuna maendeleo sababu hatutaki kukosoa vyetu viwe bora tunasifia ujingaDSTV ikinyesha mvua pia haioneshi, acheni uongo, mi natumia DSTV na inakata wakati wa mvua.
Pendeni vitu vya kwenu, ndio maana hatuna maendeleo, tunaamini vya nje ni bora kuliko sisi.
Nikawa nafikri labda ni kwangu tu kumbe ni sehemu zote? Ningeliwa hela mimi!😁😁😁DSTV waheshimiwe sana. Haka kamvua kidogo tu AZAM haioneshi. Yaani imekata matangazo kabisa.
Kwa manyunyu tu. Tuwaheshimu sana. Miaka yote natumia DSTV hawajawahi kuwa waduanzi hata kidogo.