Kwa niliyoyaona Burundi, itoshe kusema Tanzania ni nchi tajiri sana

Wewe mhutu? Mbona umeumia? Ila Burundi ni poor country!! Let's share experience
 
Trip ijayo ntaenda South Sudan nikusanye habari nzuri tuu nje ya Vita alaf nikuletee utakubali kwenda??
 
Dutch and Flemish
 
Juzi nilisoma mahali psychlopia nikaona among ten great lakes with fresh water three are in Tanzania, Yan Victoria,Tanganyika na Nyasa!! Nilikosa Raha kabisa mpaka pilau la idi sikulifaidi!!
 
Daah kuna nchi watu wanapata tabu jamani.
 
Ongezea malawi, naagaliaga Tv station zao yaani hata maagizo yao yanaonyesha hapo Kuna umasikini iliotukuka..
 
Umetii WITO wa kuhamisha Burundi sio!!!!

Anyway, umefanya Kaz nzuri ulotumwa.
 
Mkuu naona umeongea kwa hisia sana
 
Naona umechanganya madesa ungesema ukitoa North sio west.. hao west hamna lolote masikini kuliko hata Tz sana sana mijini ingawa napo umaskini ni balaa. Kiukweli kwa Africa kusini mwa jangwa la Sahara Tz tuna nafuu sana, hata hao Kenya mnaowaogopa ni hapo Nairobi lakini ukitoka nje kidogo tu, kuna umaskini wa kufa mtu kuliko Tz. Kutembea ni shule tosha, Allah amenijalia nimetembea nchi nyingi naelewa umaskini uliopo Africa. Narudia tena kwa Africa kusini mwa jangwa la Sahara kwa hali nzuri kidogo bongo ipo kwenye top 5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…