Kwa niliyoyaona Burundi, itoshe kusema Tanzania ni nchi tajiri sana

Hao Rwanda hupost sehemu chache tu nzuri na kujifanya New York kumbe Wana majamga Yao mengi
 
Nchi masikini zaidi Dunuani ni TIMOR MASHARIKI
 

We mrundi Leo unaukana urundi unajiita Mtanzania?changia umasikini wa Burundi sio wa Brazzaville..usikatae kwenu....
 
Somali yenyewe ipo wapi kimaendeleo? Mbona kila siku wanakimbia nchi yao na kulipuana tu. Huo uhodari wao umewafikisha wapi?
Changamoto ya wasomali ni koo zao (ukoo). Koo chache zimeshika Dola na kinachifuata ni ubabe tu. Kwa akili ya utafutaji wasomali wako vizuri. Wengi pia wapo diaspora na wako well organised. Kwa bongo hapa wameshika sana biashara aina tatu: hoteli (migahawa), kompyuta na steshenari.
 
Si kuna crdb huko?
 
Mbona ata KE wakijua tu ka.a ww ni mbongo basi mamno yana kuwa normal tu
 
Sasa maskini angewezaje kumsaidia maskini mwenzie?
Hili suala linataka tu akili ya kawaida kulielewa.
 
TZ yetu licha ya maujinga yetu kuna nafuu kubwa kuliko nchi zote za Afrika Mashariki. Burundi kuwa landlocked, siasa za ovyo na kutokua na rasilimali kunachagiza kuwa pa ovyo. Jirani yake Rwanda nako mambo ni mbombo ngafu ndiyo maana ankali PK anajitahidi kupora rasilimali za DRC, maana bila hivyo hali tete.

Bongo licha ya siasa zetu pia kuwa na dosari aisee bado ni bora mara elfu kuliko nchi nyingi za Afrika.

Kenya ukabila na kutamalaki ukame. Bila hivyo ingekua ni namba 1 Afrika Mashariki na kati.

Wahabeshi ni wanyaturu waliochangamka. Hawana maajabu. Wajinga, wajinga tu.
 
We mrundi Leo unaukana urundi unajiita Mtanzania?changia umasikini wa Burundi sio wa Brazzaville..usikatae kwenu....
Wewe, mimi ni msukuma chapa ya ng'ombe. MTANZANIA PURE KABISA. Yaani yaani kule Ntuzu na Busia kuna makaburi mpaka ya bibi zake na babu zangu nilishayaona.Sikatai nina connection na warundi ila ni kwa upande wa marehemu mme wangu. Burundi ni kwao na watoto wangu. Kule ni maskini yes na sijakataa. Ila mimi ni Mtanzania og.
 
[emoji1][emoji1][emoji119]
 
I like that...
 
Huo ugali wa Roe tulikuwa tunakula wakati nafanya kazi kule kwenye makambi yao ya Katumba na Mishamo. Mi chakula kibaya sana kuliwa na mwanadamu. Aiseeeeee
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…