Kwa ninavyomfahamu Ndugai, ipo siku atalipa kisasi

Kwa ninavyomfahamu Ndugai, ipo siku atalipa kisasi

Tunavyopenda kuombea wenzetu mabaya daa!!!! Hata huko alikotoka hakuna hata aliye msafi ambaye unaweza msafisha kwa jik akatakata ni muda tu!
 
Zile nyumba zake za Dodoma alizojenga eneo la SGR bado tunaziona, na Mali zake nyingi alizotuma majina feki, na matibabu yake India, akianza tu tunachokoza kimojawapo

Kwa hiyo kuna eneo la SGR?
 
Pia, wakati anampiga fimbo mgombea mwenzake hakuwa na Kinga ya kutoshtakiwa, mashahidi wapo,jalada lipo, mwendesha mashtaka yupo, mahakama ipo, na gereza la isanga lipo
Du nimekusoma,ile tuhuma ni mbaya sana ikipata wa kuipiga penati.
 
Halipizi Wala halipi kisasi. Kwa taarifa Sasa hivi Ndugai Ni hatari kwa usalama wa taifa hivyo hata akinywa ARV Kuna mtu anaandika, hata akinywa beer Kuna mtu anazihesabu, hata akienda kwa waganga ajue mmoja Kati ya hao waganga wake Ni mtu wa system.

ndugai ni spika wa bunge mstaafu.

ni hazina ya taifa sio hatari kama unavyodhania.usishangae kesho akapewa chaka kubwa tu.
 
Mgogo wangu yule huwaga hana uvumilivu kabisa na nililonalo hakika ipo siku atabomoka tu.

Muda utaongea.
Naskia watu wamechkua mkeka wake wa kifisadi wakamwambia mzee tuachie hui mkeka au unajienguaa saa ngap...hahaha
 
Acha mchezo na taasisi ya RAIS.
Huyo hagusuki hata miaka bilioni mbele.hapo imekula kwa ndugai labda akamroge na wazanzibar wapo vizuri kwenye hyo sekta[emoji16][emoji16]

taasisi ya urais ni pamoja na huyo spika wa bunge.

au mkisikia urais ni taasisi mnadhani ni yale majengo pale magogoni[emoji16][emoji16]
 
Analipa kisasi kwa kuomba msamaha na kujiuzulu au kwa kusema nchi itauzwa?
 
Back
Top Bottom