Kwa ninavyomfahamu Ndugai, ipo siku atalipa kisasi

Kwa ninavyomfahamu Ndugai, ipo siku atalipa kisasi

Mgogo wangu yule huwaga hana uvumilivu kabisa na nililonalo hakika ipo siku atabomoka tu.

Muda utaongea.
Kuna kipindi kisasi ni kitamu mno, msubiri aliyekuumiza asahau then katikati ya furaha yake unamlipua na kuharibu hali ya hewa.
 
Si ndo maana Samia kamtia kitasa Cha mbavu ndugai.
Kukopa tunakopa wote alafu unataka kujitoa uonekane mwema.
Wewe uliona wapi?
Tunaotakiwa kulalamika rais analipa Sana ni sisi.
Yeye ana access kubwa ya kukutana na Samia akamueleza sio kumvua nguo hadharani.
taasisi ya urais ni pamoja na huyo spika wa bunge.

au mkisikia urais ni taasisi mnadhani ni yale majengo pale magogoni[emoji16][emoji16]
 
Kwa ujinga wa Wabunge wa huenda na wewe ukiwamo walipitishia sheria ya kutoshitakiwa kwa Spika
Wala haihitaji kumshitaki, dawa yake ni kumpiga muflis tu! Kama ana akili ni bora apumzike tu ale mafao yake kwa amani kuliko kuanza tena kuchokoza mambo
 
Mgogo wangu yule huwaga hana uvumilivu kabisa na nililonalo hakika ipo siku atabomoka tu.

Muda utaongea.
Keshakwisha yule yakhee samaki ana nguvu tu ndani ya maji

Plus donge nono la Spika Mstaafu atakalobugizwa kinywani litamziba mdomo asiweze kusema, akisema tu mdomo unapasuka
 
Magufuli alisema yeye asingemsainia Maalim Seif haki zake kama angekuwa shein,,,,Sasa samia nae kwa kuwa Ndugai kamkera amnyime haki zake zote za mafao na akiumwa asiende India aishie Muhimbili
 
IMG_20220107_143809.jpg
 
Si ndo maana Samia kamtia kitasa Cha mbavu ndugai.
Kukopa tunakopa wote alafu unataka kujitoa uonekane mwema.
Wewe uliona wapi?
Tunaotakiwa kulalamika rais analipa Sana ni sisi.
Yeye ana access kubwa ya kukutana na Samia akamueleza sio kumvua nguo hadharani.

infact ndugai hajalalamika,mama kakurupuka au vijana wa uvccm wamemfanyia mambo ya kihuni.

kama hataki kushauriwa itamfia nchi.
 
Simu ya Samia anayo angempigia angemwambia.
Au angeongea hata bungeni
infact ndugai hajalalamika,mama kakurupuka au vijana wa uvccm wamemfanyia mambo ya kihuni.

kama hataki kushauriwa itamfia nchi.
 
Simu ya Samia anayo angempigia angemwambia.
Au angeongea hata bungeni

ukimsikiliza katika video huwezi ona ubaya wa alichoongea.
ni sawa nayeye tumhukumu kwanini jana kasema ni aibu kijana kukosa kazi,wakati anajua ajira hakuna.wakati kimsingi alikuwa anaamsha hali za vijana kutafuta.

sema kwa vile mambo yanakwenda kimchongo acha tuache tu.
 
Back
Top Bottom