Kwa ninavyomfahamu Ndugai, ipo siku atalipa kisasi

Ndugai ndiyo mwisho wake. Bahati mbaya hana wanaomhurumia kwa yaliyompata zaidi ya nyumba ndogo yake ambaye ni DED wa Bahi. Nyumba kubwa wamefurahia anguko lake sawa na wagogo wengine wa Kongwa
Siyo DED Mkuu kwasasa ni RAS-Dom
 
Kwani mzee wewe haufurahi ndugai kutimuliwa?
 
Vizuri
Wewe ungekuwa boss ungependa mfanyakazi wako akufokee hadharani?
wala sioni sababu ya kunifurahisha.
naweza jifanya mjinga nifurahi ila nikikumbuka kafukuzwa kwa sababu gani najidharau.
 
Aliyepeleka jina la spika bungeni ni Nani?
Spika wa bunge ni chama gani?
Mwenyekiti wa hicho chama ni Nani?
nikiwa kama boss sitapenda,ila uboss wa rais kwa spika ndio sijauelewa bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…