Biblia lugha ya kiingereza, majina ya kiingereza/kizungu.Lengo la wazungu lilikuwa nini hasa walipoyabadili majina ya mashariki ya kati kuyafanya ya Kizungu mfano Jesus, John, Mathew, Luke au Mark ?
Kwa nini pia majina ya Biblia yakipelekwa kwenye lugha nyingine kama Kiswahili yanabadilishwa mfano kuwa Yesu, Mathayo, Luka, Marko au Yohana?
Ni kiingereza!Sasa ulitaka articulations ziwe za kifipa? Ustaadh vipi?Lengo la wazungu lilikuwa nini hasa walipoyabadili majina ya mashariki ya kati kuyafanya ya Kizungu mfano Jesus, John, Mathew, Luke au Mark ?
Kwa nini pia majina ya Biblia yakipelekwa kwenye lugha nyingine kama Kiswahili yanabadilishwa mfano kuwa Yesu, Mathayo, Luka, Marko au Yohana?
Avumilie tu.Sasa silugha ya Kingereza..
kiswahili
John -Yohana
Peter -Petro
James-Yakobo
Kilatin
Christ-Christus
August-Augustus
Ambrose-Ambrosius
Kigiriki
Chirst-Christos
August-Augustos
Ndicho nilichouliza, nimetaka kujua kwa nini Biblia ina mtindo wa kubadilisha majina ya watu.Biblia lugha ya kiingereza, majina ya kiingereza/kizungu.
Biblia ya kiswahili, majina ya kiswahili.
Mbona jibu umeshaliandika.
Hawa wanapatikana kwenye biblia gani mkuu!Ndicho nilichouliza, nimetaka kujua kwa nini Biblia ina mtindo wa kubadilisha majina ya watu.
Mbona majina mengine kama William, Harry, Denzel, George, Rose, Michelle n.k hayabadilishwi katika lugha ya Kiswahili?
Lengo la wazungu lilikuwa nini hasa walipoyabadili majina ya mashariki ya kati kuyafanya ya Kizungu mfano Jesus, John, Mathew, Luke au Mark ?
Kwa nini pia majina ya Biblia yakipelekwa kwenye lugha nyingine kama Kiswahili yanabadilishwa mfano kuwa Yesu, Mathayo, Luka, Marko au Yohana?
Wamekuachia uwanja uutumie kwa kuyataja kwa kiswahili chako.It's your turn,now!Ndicho nilichouliza, nimetaka kujua kwa nini Biblia ina mtindo wa kubadilisha majina ya watu.
Mbona majina mengine kama William, Harry, Denzel, George, Rose, Michelle n.k hayabadilishwi katika lugha ya Kiswahili?
Umefanya vizuri hapo sasa tunaweza kuendelea na mjadala.
Umekasirika hadi umeamua ushike kiboko na chaki kabisa!Umefanya vizuri hapo sasa tunaweza kuendelea na mjadala.
Japo sijui sababu (kwa sababu swali lako linaanza na neno KWANINI?)
Ila kwa maoni yangu lugha kama nyenzo ya mawasiliano inapaswa kutahisisha mawasiliano baina ya watu n sio kufanya ugumu ktk mawasiliano.
Tuchukue jina YEHUDA-LIKAWA JUDE/JUDAS NA SISI TUNASEM YUDA. hapo ni mabadiliko ktk matamshi tu na sio kwamba jina limebadilika
Egypt-Misri
ARAB- WAARABU/MWARABU
SHIMUN-SIMON, SIMEON,
ANDRAOS, ANDREW -ANDREA
ni katika kurahisisha tu mawasiliano
Kuna wakati unashindwa kusema MATCHING OUT UNAAMUA KUSEMA TU MACHINGA wa kariakoo
Mbona nje ya Biblia majina mengine hayabadilishwi, mfano William, George, Michelle, Zoe, Ethan, Oliver hayana kwa Kiswahili?Ili yaweze kutamkwa na wanaotumia lugha ya Kiingereza...
Hivi unadhani ni rahisi kutamka majina yaliyoandikwa kwa lugha ambayo si lahaja yako?
Wewe tubadilishie tupate mbadalaMbona nje ya Biblia majina mengine hayabadilishwi, mfano William, George, Michelle, Zoe, Ethan, Oliver ?
Hapana ππ yohana yohane JohnUmekasirika hadi umeamua ushike kiboko na chaki kabisa!
Mbona nje ya Biblia majina mengine hayabadilishwi, mfano William, George, Michelle, Zoe, Ethan, Oliver ?
Kumbe siyo Jacob?Hapana ππ yohana yohane John
Ukiangalia lugha ya kiebrania utakugundua kwambaMbona nje ya Biblia majina mengine hayabadilishwi, mfano William, George, Michelle, Zoe, Ethan, Oliver ?