Kwa nini Biblia ya Kingereza ilitengeneza majina ya Kizungu kama Jesus, John, Luke, Mark na Mathews ?

Kwa nini Biblia ya Kingereza ilitengeneza majina ya Kizungu kama Jesus, John, Luke, Mark na Mathews ?

Ukiangalia lugha ya kiebrania utakugundua kwamba

William anaitwa Vil-yam
George anaitwa Jorj(wakati ni jina la kigiriki Likisomeka Georgios) hivyo beana joji sio jina la kingereza GEORGE hata wao walilichomoa ugiriki.

Michelle anaitwa Michaela au Michal wote wamelitoa kwa wafaransa ambalo ni jina la kike linalotaka kufanana na Mikha'el

Mengine utaendelea mwnyewe.
Kwa nini katika Kiswahili George inabaki kama ilivyo haibadilishwi chochote?
 
George ni sawa na JOJI? hapo matamshi na namna ya kukiandika vimeadilika. Kasikilize wa England wakitamka GEORGE halafu uje kwa wapogolo wanavyo tamka JOJI
Kwenye Kiswahili George huwa naona inaandikwa kama ilivyo, haibadilishwi chochote.
 
Kuna uandikaji na polonaunsiesheni/pronunciations.Fuatilia.
Swali za ziada Mheshimiwa,
Kwa nini uandikaji wa majina nje ya Biblia kutoka lugha moja kwenda nyingine haubadiliki?

John raia wa UK jina lake likiandikiwa kwa Kiswahili linabaki John hivyo hivyo hivyo wakati John wa Biblia kwa kiswahili akiandikwa anabadilishwa kuwa Yohana!
 
Bakini na Majina yenu ya KiAfrica inatosha, Mambo ya wazungu waachieni wenyewe.
Kama vile Kamuzu,Washokera,Obuechina Maduabuchi,Msomi,Rwehabura,Shiyo,Ndemfoo,Chiza,Ndolochi,Fungo,Madembwe,Nyahonde,Mazengo,Hazishi,Mkegani,Lilinge,Ndulami,Mpwage nk?
 
Swali za ziada Mheshimiwa,
Kwa nini uandikaji wa majina nje ya Biblia kutoka lugha moja kwenda nyingine haubadiliki?

John raia wa UK jina lake likiandikiwa kwa Kiswahili linabaki John hivyo hivyo hivyo wakati John wa Biblia kwa kiswahili akiandikwa anabadilishwa kuwa Yohana!
Hapo ni lugha perspective!Mwandishi anataka kukuvuta umuelewe kwa urahisi tu.
 
Nilichocheka ni wazungu waandike majina ya kinyakyusa ni ngumu sana na pia kwa wengine kusoma Biblia kama ajui majina anaweza kutoka kapa..
Yoda ni mtata ukute nae majina yalikua yanamsumbua kama mimi tu.
Yupo sahihi.Binadamu lazima uwe mbishi.
 
Back
Top Bottom