Kwa nini Biblia ya Kingereza ilitengeneza majina ya Kizungu kama Jesus, John, Luke, Mark na Mathews ?

Kabla hayajabadilishwa yalikuwaje
 
Lengo ni kufanya waingereza wasiione kama dini ngeni. Ndiyo maana Yesu na Mama yake wanachorwa kama wazungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…