Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Mkuu uliamini walivyosema hivyo? Niliwahi kuuliza hapa jukwaani bei itashukaje wakati mradi ni wa mkopo? Jamaa akawa anasema mradi huo ni wetu, nikamuuliza mbona ndege ni zetu lakini nauli ni gali kuliko nauli za fastjet, akapotea!Uchumi wa bongo huwa unashangaza sana, kuna wakati watu walikuwa wanasema bwawa la umeme likikamilika na Waarabu wa DP World wakianza kuendesha bandari itasababisha gharama za uzalishaji na uingizaji mizigo kushuka na kupelekea bidhaa kuwa bei rahisi ila haijawaha hivyo mpaka sasa!