Kwa nini Capitalism imeshindwa kuwatoa Kenya?

Sisi tunapambana kutoka huko,
Afadhali fedha kuliko msaada wa chakula maana ni aibu alafu isitoshe mtu mwenye njaa unaweza mfanya chochote ndio maana muda mwingine wachina wanawapeni msaada wa pombe kama chakula.
Usitetee ushenzi! Sisi wote watembeza vibakuli! Hamna uafadhali hapa. You're part of the problem why Africa is considered shithole!
 
Cha muhimu hatuombi misaada ya chakula kwa sababu hatuna uzembe wa kijinga huku kama wakenya,
Hatuna rate kubwa ya unemployment,
Tunafanya miradi yetu mingi kwa pesa zetu tofauti na kenya ambayo hadi ikope kila kitu na mkopo ukikosekana mambo huwa magumu kama reli kuishia porini,
Hali ngumu ya maisha ya wakenya hadi kupelelea wengine kukodisha wake zao kwa tourists ili angalau wapate chochote.

 
Usitetee ushenzi! Sisi wote watembeza vibakuli! Hamna uafadhali hapa. You're part of the problem why Africa is considered shithole!
Hatuwezi fanana na failed state inayotembeza bakuli kuomba misaada ya chakula karne hii.
 
Kwanza kabisa mnaokuja huku wengi ni waganga njaa, mnaishia kwenye vigesti uchwara, mkiondoka mnaamini hiyo ndio Kenya, waulize Watanzania wenye uwezo wa kutalii ambao wameitembelea Kenya vizuri.
Bro unafikir nimeenda Kenya pekee hadi nifikie gesti uchwara....Hata hivyo hayana umuhinu hayo.... Cha muhimu ujue Kenya panafuka moshi mweusi..
 
Kwanza kabisa mnaokuja huku wengi ni waganga njaa, mnaishia kwenye vigesti uchwara, mkiondoka mnaamini hiyo ndio Kenya, waulize Watanzania wenye uwezo wa kutalii ambao wameitembelea Kenya vizuri.
Nimemuuliza alifika wapi haswa akakataa kusema.
 
Bro unafikir nimeenda Kenya pekee hadi nifikie gesti uchwara....Hata hivyo hayana umuhinu hayo.... Cha muhimu ujue Kenya panafuka moshi mweusi..
Hujafika Kenya, wacha uwongo wewe.
 
Hzo ulizozitaja zina mafuta ya kutosha, so bado point yako haina mshiko jomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujamaa ndani ya miaka 50 bado umeshindwa kuwatoa katika dimbwa la umaskini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mihogo ndio inawafanya mjione hamna njaa sio[emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji116][emoji116][emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Your argument is dumb. Swaziland is completely bordered by South Africa but it is one of the most poorest countries in the world.
 
Wewe umekataa kukubali kwamba sisi tunapanda chakula chochote hapa Kenya, umebakia kuamini kwamba tunaimport chakula chetu chote. Sasa sina la kujadili na mtu anayefikiria hivi.
Hivi Tony254 una matatizo gani?, hukuwa hivi kabisa, umekua ukijenga hoja dhahifu sana siku hizi. Rais wenu anewaambia kwamba Kenya haina uwezo wa kujilisha, kwamba chakula mnachozalisha hakitoshelezi mahitaji yenu, hivyo mnalazimika kuagiza chakula toka nje, ndicho nilichokuambia, kwamba mnalazimika kuagiza chakula ili kufidia Pengo la chakula mnachozalisha, jambo la kushangaza unang'ang'ana na kwamba tumesema hamlimi chakula kabisa. Hii ni dalili kwamba sasa hivi unapoteza uwezo wa kujenga hoja, sasa unaanza kuingia ktk kundi la wakenya wengi la" mwaswast"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…