Kwa nini CHAUMMA audiences wake ni watoto under ten yrs?

Kwa nini CHAUMMA audiences wake ni watoto under ten yrs?

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,517
Reaction score
6,074
Mikitano ya ndugu zetu wa ubwabwa audiences wake ni watoto wadogo , sijui ni kwa sababu watoto wanapenda ubwabwa, na matangazo yao ni ' Ubwabwa wa bure utakuwepo'

 
Mikitano ya ndugu zetu wa ubwabwa audiences wake ni watoto wadogo , sijui ni kwa sababu watoto wanapenda ubwabwa, na matangazo yao ni ' Ubwabwa wa bure utakuwepo'

Ubwabwa na Hedikopta nakumbuka zamani tukiwa wadogo sisi tiokukia town ilikua ikipita tunaimba hedikopta hiyo edikopta hiyoooooo naona watoto wale nao wanaenda na rythim ile ile
 
Ubwabwa na Hedikopta nakumbuka zamani tukiwa wadogo sisi tikulia town ilikua ikipita tunaimba hedikopta hio edikopta hioooooo naona watoto wale nao wanaenda na rythim ile ile
Hatarii sana mkuu, shida wenye chama Chao wanajinasbu kuwa ni nyomi
 
Nikiwa mdogo nilikimbia km 40 kufuata chopa iliyotua kijiji jirani.. hao wametoka vijiji tofauti kufukuzia chopa
 
Ni kweli, but kwa wa ubwabwa imezidi kipimo, ni aibu sana ssna, angalia mikutano yao yote, kuna mmoja wanafunzi watupu tena wamevaa uniform, hii aibu sana
Walipewa huo ubwabwa?
 
Back
Top Bottom