Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
huyo maswali magumu hua anaangua kilio gentleman 🐒Labda tuwaulize wao CHADEMA, eti ndugu Erythrocyte , tunaomba majibu yako tafadhali
huyo maswali magumu hua anaangua kilio gentleman 🐒Labda tuwaulize wao CHADEMA, eti ndugu Erythrocyte , tunaomba majibu yako tafadhali
Chadema mnateseka sana na chauma 😂 tulieni tuu mtakuwa Sawa kiakili mana mmechanganyikiwaIla kimapumulia mashine
Wanaangalia CHOPA, NO REFORM NO ELECTIONMikitano ya ndugu zetu wa ubwabwa audiences wake ni watoto wadogo , sijui ni kwa sababu watoto wanapenda ubwabwa, na matangazo yao ni ' Ubwabwa wa bure utakuwepo'
Mimi hiyo ingenious maana hao ndio future ya Tanzania. Wanapowapata mapema ni faida kwao.Mikitano ya ndugu zetu wa ubwabwa audiences wake ni watoto wadogo , sijui ni kwa sababu watoto wanapenda ubwabwa, na matangazo yao ni ' Ubwabwa wa bure utakuwepo'
Huko vijijini watoto hushangaa chopaMikitano ya ndugu zetu wa ubwabwa audiences wake ni watoto wadogo , sijui ni kwa sababu watoto wanapenda ubwabwa, na matangazo yao ni ' Ubwabwa wa bure utakuwepo'
..Money laundering facilitatorskwanini mikutano ya chauma huwakera zaidi Chadema?
nini siri ya mtungi haswa 🐒
HII MIJITU IMEJITOS UFAHAMU IKIJUMUISHA HY BABU SPUNDA RUNGWE AMA KWELI WAHA HAWANA AIBUMikitano ya ndugu zetu wa ubwabwa audiences wake ni watoto wadogo , sijui ni kwa sababu watoto wanapenda ubwabwa, na matangazo yao ni ' Ubwabwa wa bure utakuwepo'
ChipukiziiiMikitano ya ndugu zetu wa ubwabwa audiences wake ni watoto wadogo , sijui ni kwa sababu watoto wanapenda ubwabwa, na matangazo yao ni ' Ubwabwa wa bure utakuwepo'
Watoto ndio wanapenda ubwabwa. Watu wazima wanapenda ugali. PeriodMikitano ya ndugu zetu wa ubwabwa audiences wake ni watoto wadogo , sijui ni kwa sababu watoto wanapenda ubwabwa, na matangazo yao ni ' Ubwabwa wa bure utakuwepo'