Kwa nini CHAUMMA audiences wake ni watoto under ten yrs?

Ilifika chopa siku moja kijijini Butiama kumleta Rais wa Msumbiji, siku hiyo ndiyo niliwaona watoto wote wa Butiama.
 
Mikutano yote watoto hawakosekani. Nikiwa mdogo mwaka 1995 nilihudhuria mikutano ya Mkapa, Mrema, Lipumba na John Cheyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…