Kwa nini Dini inakataza watu kunywa Bia?

Kwa nini Dini inakataza watu kunywa Bia?

Hakuna popote ktk Biblia ya wakristo wa Quran ya waislam zimekataza pombe... Ila ni hisia na maoni na mawazo au fikra za watu wanalazimisha dini zimekataza pombe...
Dini kama ya Kikristo imeeleza side effects za kilevi na kutoa tahadhari ila haijakataza...
Naomba maandiko atakaye nibishia
 
Nawasilisha!?

Dini inakataza lakini watu milioni 12 Tanzania wanakunywa Bia Sana au Kidogo ili wasilewe!?

Mie ni mjinga nataka kujua kitu toka JF
Mitume wengi tu wamekunywa mpaka yesu kanywa pombe...kunywa pombe ni sawa na kula chakula ...kama chakula kinavyoweza kuwa haramu pale unapofikia daraja ya ulafi...pia pombe inapofikia daraja ya ulevi basi pombe inakuwa haramu ....ulevi ulafi ni nini? .... ni kitendo cha akili ya mtu kutawaliwa na pombe au chakula...inatakiwa akili ndiyo itawale unywaji na ulaji.
 
Back
Top Bottom