grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Kama kitu hauna elimu nacho usikurupuke kujibu , nimekupa aya nilitaraji ungeleta pendekezo tuichambur umeishia kutafsiri unavyojua wewe bila ya kuwa na elimu yoyote ile ya quran au lugha yenyewe ya kiarabu .Shida mnajifanya mnazijua dini kuliko wakoloni wa kiarabu na kizungu waliozileta... Sasa tumia akili ya darasa 4 jiulize ktk hayo maandiko ni wapi uislam umekataza au kukemea pombe? ๐ฉ Sana sana imeshauri au imependekeza mtu ajiepushe na pombe ๐๐คฃ
Tena afadhali wakristo maandiko yao wameandika kwa kutoa onyo kwamba "OLE WAKE...."
Siku nyingine usikurupuke kijana hizi dini zipo kwajil ya kuistarabisha dunia sio kwenda mbinguni au peponi kama unavyo dhani...
Na tukienda na logic yako inamaanisha basi hata kamari, na kuabudu masanamu havijakatazwa ila tumeshauriwa tujiepushe navyo sio? Meaning mtu anaweza kuabudu sanamu lake bila shida yoyote ile halafu hapo hapo huyo mtu ajiite muislamu hauoni unafungua mlango wa contradiction?
SIKU NYENGINE USIWE UNAKURUPUKIA HOJA AMBAZO HAUNA ELIMU NAZO .