Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisayansi sukari na mafuta mwilini ni mbaya!bibilia haina msimamo kuhusu pombe
sema kisayansi pombe ni mbaya
Sayansi gani we mshamba aisee usinikere hapa aiseee.
Pombe siyo Bia.Dini ya Kiislam
Enyi walioamini! Hakika pombe na kamari na masanamu na kutazamia kwa mishale ya kupigia ramli, ni najisi na chukizo kutokana na kazi ya shaytwaan. Basi jiepusheni navyo mpate kufaulu. Al-Maaidah (5:90-91)]
Biblia inaeleza madhara na matokeo ya pombe. Nuhu alilewa akavua nguo,, akamlaani mjukuu wake Canani mwanzo 9:20-25. Belshazzar alilewa akautumia vyombo vitakatifu, akafa usiku huo huo. Daniel 5:1-5. Agano jipya Biblia inasemwa walevi hawataingia mbinguni 1wakorintho 6:9. Nenda Hospital ya Mirembe uone wagonjwa wa akili waliopelekwa kutokana na ulevi. Pombe mbali na Kodi kubwa inayoingia serikalini, imeleta hasara kubwa kwa ajali, talaka, vifo, uchumi na watoto wasio na makazi, na wanawake waliotelekezwa.Nawasilisha!?
Dini inakataza lakini watu milioni 12 Tanzania wanakunywa Bia Sana au Kidogo ili wasilewe!?
Mie ni mjinga nataka kujua kitu toka JF
Hata serikali ingepiga marufuku pombe watu wanywe kwa kujificha. Liwe kosa tu kama wizi, uvutaji bàngi, dawa zà kulevya na mambo kama hayo.Pombe kwa nchi zetu za kimaskini tunamatumizi mbaya na ukweli sio nzuri.
Unaweza itumia wewe ki usahihi ila zaidi ya asilimia 90 hakuna ustarabu nazo.
Pombe ndo chanzo cha ajali nyingi za magari binafsi hata ya abiria na mizigo
Pombe ni chanzo za wengi kupata magonjwa ya ngono kwasababu walevi hujinywea hali inayopeleka kutojitambua kwenye maamuzi sahihi.
Pombe ni chanzo cha ndugu wengi kupoteza future zao kwa kuwa walevi chakari ( teja wa pombe)
Pombe ni chanzo cha upotezaji wa maadaili mengi( Ukikuta familia baba ni mlevi ni nadra kusimamia familia yake, kwanza atarudi usiku ma matusi au kelele na muda mwingi hayuko nyumbani.)
Na sijui ni nini iko nyuma ya uhamasishaji utumiaji wa pombe yaani ukisema kwenye Jamii hutumii pombe unaonekana mshamba jambo ambalo kila binadam ana uchaguzi wake.
Siongelei pombe kidini ila naitizama ki mantiki ambayo ukweli upo bado wa Tanzania hatuna ustarabu na Pombe..
Jee unadhani watu wanakunywa kistarabu na kuzingatia mlo?,
Hii hapa!Hata serikali ingepiga marufuku pombe watu wanywe kwa kujificha. Liwe kosa tu kama wizi, uvutaji bàngi, dawa zà kulevya na mambo kama hayo.
Pombe ina madhara sana ikifikia hatua ya ulevi.
Yanakuja! Yalikuwepo Youtube saizi yapo kwenye Vitabu vitakafujoHakuna popote ktk Biblia ya wakristo wa Quran ya waislam zimekataza pombe... Ila ni hisia na maoni na mawazo au fikra za watu wanalazimisha dini zimekataza pombe...
Dini kama ya Kikristo imeeleza side effects za kilevi na kutoa tahadhari ila haijakataza...
Naomba maandiko atakaye nibishia
Hakuna popote ktk Biblia ya wakristo wa Quran ya waislam zimekataza pombe... Ila ni hisia na maoni na mawazo au fikra za watu wanalazimisha dini zimekataza pombe...
Dini kama ya Kikristo imeeleza side effects za kilevi na kutoa tahadhari ila haijakataza...
Naomba maandiko atakaye nibishia