Until_The_End
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 1,456
- 2,202
Dini ya KiislamHakuna dini inayokataza bia, itaje.
https://www.facebook.com/Nawasilisha!?
Dini inakataza lakini watu milioni 12 Tanzania wanakunywa Bia Sana au Kidogo ili wasilewe!?
Mie ni mjinga nataka kujua kitu toka JF
DIni gani inakataza bia?Nawasilisha!?
Dini inakataza lakini watu milioni 12 Tanzania wanakunywa Bia Sana au Kidogo ili wasilewe!?
Mie ni mjinga nataka kujua kitu toka JF
Umeijengea Hoja vizuri sana matokeo ya Chakula ulafi. Na pombe Ulevi ndio dhambi. 🤣🤣 Yule unamuitaga Nani nani bushir mitano tena🤣🤣Mitume wengi tu wamekunywa mpaka yesu kanywa pombe...kunywa pombe ni sawa na kula chakula ...kama chakula kinavyoweza kuwa haramu pale unapofikia daraja ya ulafi...pia pombe inapofikia daraja ya ulevi basi pombe inakuwa haramu ....ulevi ulafi ni nini? .... ni kitendo cha akili ya mtu kutawaliwa na pombe au chakula...inatakiwa akili ndiyo itawale unywaji na ulaji.
Kwanini mwakataze watu kula gambe kiduaniadunia wakati ahera full bataHuu uzi unahusu maisha ya hapa duniani.
Wanzuki, ulanzi ni lugha gani?
Wakati dini zinavumbuliwa hakukuwa na bia. Bia zimekuja miaka siyo zaidi ya 300 iliyopita kwa hiyo dini haijui bia. We kumywa bia acha uogaNawasilisha!?
Dini inakataza lakini watu milioni 12 Tanzania wanakunywa Bia Sana au Kidogo ili wasilewe!?
Mie ni mjinga nataka kujua kitu toka JF
Sayansi gani we mshamba aisee usinikere hapa aiseee.bibilia haina msimamo kuhusu pombe
sema kisayansi pombe ni mbaya
alchohol ni group 1 carcinogenSayansi gani we mshamba aisee usinikere hapa aiseee.
Kwenye hilo Neno hapo! Halikisha imethibitishwa na daktari🙈Pombe ni kinywaji kinacholevya na zinagawanyika katika aina mbili ambazo ni bia(iliyotokana na kuchachuliwa nafaka) na pia divai ama mvinyo(iliyotokana na matunda).Pombe nyingine ni zao la kutonesha bia ama divai. Mhubiri 9:7,inakutaka unywe divai kwa kuchangamka kwa kuwa Bwana amekwishazikubali kazi zako.Uamuzi wa dini ama dhehebu si wa kutoka katika Injili bali ni maoni ya Mtume Paulo alipoamua kuwa mnadhiri wa Mungu.Mnadhiri wa Mungu alifungwa na masharti ya kutokunywa pombe,kutonyoa nywele na kutoshuhudia maiti.Endapo mnadhiri akishuhudia maiti kuna tambiko maalum atalifanya ili kuirudia nadhiri yake.Hata wewe wawezafunga nadhiri na je,kama si mnadhiri ipendeze kuhubiri kuwa kunywa pombe ni dhambi?