Kwa nini Dini inakataza watu kunywa Bia?

Dini gani hiyo imekataza?
Kwenye biblia Yesu mwenyewe alitengeneza mapipa ya divai..watu wanywe, waburudike...nani huyo kakataza tena??
 
Wakikuambia Bia Mbaya na Ukanywa utapata madhara Gani!?

Nataka kujenga tu!? Sina maana Hiyo

Maana Kazi ya Mlevi kapewa Shehe/Mlokole
Kinachokatazwa ni kulewa, kulewa ni kutumia kilevi kupita kiasi na kilevi kinaweza kupatikana kwenye chakula bila mlaji kukusudia, mfano baadhi ya dawa na matunda.
 
Kinachokatazwa ni kulewa, kulewa ni kutumia kilevi kupita kiasi na kilevi kinaweza kupatikana kwenye chakula bila mlaji kukusudia, mfano baadhi ya dawa na matunda.
Kinachokatazwa ni kunywa pombe nyingi kupita kiasi huwezi kunywa bila kulewa
 
Nawasilisha!?

Dini inakataza lakini watu milioni 12 Tanzania wanakunywa Bia Sana au Kidogo ili wasilewe!?

Mie ni mjinga nataka kujua kitu toka JF
Mimi sinywi bia ila simzuii mtu kunywa kwa kuwa hakuna andiko lolote kwenye Biblia linakataza kunywa pombe.
 
Nawasilisha!?

Dini inakataza lakini watu milioni 12 Tanzania wanakunywa Bia Sana au Kidogo ili wasilewe!?

Mie ni mjinga nataka kujua kitu toka JF
Wanataka watu wasitumie pesa ili watoe sadaka balda ya kuzitumia kwenye kanywaji.
 
Kinachokatazwa ni kulewa, kulewa ni kutumia kilevi kupita kiasi na kilevi kinaweza kupatikana kwenye chakula bila mlaji kukusudia, mfano baadhi ya dawa na matunda.
Pombe ni haramu, tuache kujifariji eti dawa mara chakula. Nendeni vilabuni muone watu wanavyoteseka na pombe. Kuna watu very genius, lakini pombe imewachakaza hakuna mfano. Kuna familia zilianza vyema mara ghafla Mr Pombe kaharibu kila kitu. Tumezika watu wa maana sana sababu tu pombe. Pombe ukiianza inaleta usugu na ugumu kuiacha.
 
Chukua pombe yako kiasi uinywe nyumbani kwako kiasi, hilo linakubalika.
 
Kweli ni chanzo cha mambo mengi sana!! Tatizo ni dini kuweka tatizo kwenye ulevi
 
Huwezi kula gambe na huna maokoto , wanywaji wengi wanajiweza kiuchumi.

Tofauti na waraibu wa vilevi vingine kama ngada na bangi ambavyo hupatikana kwa bei rahisi rahisi.
 
Shida mnajifanya mnazijua dini kuliko wakoloni wa kiarabu na kizungu waliozileta... Sasa tumia akili ya darasa 4 jiulize ktk hayo maandiko ni wapi uislam umekataza au kukemea pombe? 💩 Sana sana imeshauri au imependekeza mtu ajiepushe na pombe 😂🤣
Tena afadhali wakristo maandiko yao wameandika kwa kutoa onyo kwamba "OLE WAKE...."
Siku nyingine usikurupuke kijana hizi dini zipo kwajil ya kuistarabisha dunia sio kwenda mbinguni au peponi kama unavyo dhani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…