Nchi zenye ukristo ndani ya dola ziko nyingi sana Vatican, Costa Rica, Denmark, Malta, Monaco, Iceland, Tonga, Samoa, Tuvalu hata kwa majirani zetu Zambia, Ukristo unatambuliwa katika katiba kama msingi wa taifa.Sharia zinaongoza mamlaka ya nchi, hakuna nchi ya kikristo mamlaka ya kanisa ina nguvu ya sheria ndani ya dola.
Sio lazima wenye sharia wafanane na wasio na sheria kila nchi inaishi kwenye misingi inayoona ni sahihi kwa makubaliano kama taifa
Soma nilichoandika halafu ujibu kwa ufahamu, hizo nchi sheria zake ni za kiraia au za kikanisa?Nchi zenye ukristo ndani ya dola ziko nyingi sana Vatican, Costa Rica, Denmark, Malta, Monaco, Iceland, Tonga, Samoa, Tuvalu hata kwa majirani zetu Zambia, Ukristo unatambuliwa katika katiba kama msingi wa taifa.
Lakini uwezi kuta nchi hizi zinanyonga watu kisa wamekuwa Waislamu
Ukristo pia ulisambazwa kwa upanga na vitisho vile vileukiona mtu anatumia nguvu na vitisho kukufanya uamini anachoamini ujue hicho kitu sio cha kweli
Nchi za kikiristo zinaua kwa ajili ya maliHivi kwa nini hakuna nchi inayojulikana sana kuwa na sheria inayomwamuru mtu auawe kwa sababu tu ameacha Ukristo na kuingia Uislamu.
Nimegundua kuna nchi kadhaa zenye sheria zinazoweza kutoa adhabu ya kifo kwa kosa la uasi wa dini (apostasy), ambalo katika mifumo hiyo ya kisheria kwa kawaida humaanisha Muislamu kuacha Uislamu na kujiunga na dini nyingine.
Hizi ni baadhi ya Nchi zenye sheria za adhabu ya kifo kwa uasi wa dini
1. Saudi Arabia
Mfumo wake wa sheria unachukulia kuacha Uislamu na kuingia dini nyingine kama uasi wa dini, ambao unaweza kuadhibiwa kwa kifo. Hata hivyo, sheria hiyo haijaweka adhabu ya kifo kwa mtu ambaye ni Mkristo anayeamua kuingia Uislamu. Kwao ukitoka uislam na kuwa mkristo inabidi uuwawe, lakini mkristo akiingia kwenye Uislamu anafanyiwa tafrija.
2. Iran
Tafsiri ya sheria za Kiislamu inayotumiwa na mamlaka za Iran inaweza kuchukulia kuacha Uislamu kama kosa linaloweza kuadhibiwa kwa kifo au kuwekewa vikwazo vya kisheria. Nchi hizi ukibadili dini na kuwa mkristo bora uondoke tu nchini na kukimbia. Hata watoto wao wa kike hawawezi kuolewa na mkristo, ata kama mmependana vipi, wewe wa kiume ni lazima ubadili dini kuingia uislam
3. Yemen na Brunei
Nchi hizi zimetajwa katika uchunguzi wa mwaka 2023 wa Tume ya Marekani ya Uhuru wa Dini Duniani (USCIRF) miongoni mwa nchi ambazo sheria zake za uasi wa dini au kubadili dini zinaweza kutoa adhabu ya kifo.
Je, Mkristo akiamua kuingia Uislamu anaweza kuuawa?
Katika nchi kama Saudi Arabia na Iran, kuacha Ukristo na kuingia Uislamu si kosa la uasi wa dini linalozungumziwa katika sheria hizo.
Na hapa imezungumzwa kuua kwa ajili ya dini! We jamaa kichwa chako mara zote huwa ni emptyNchi za kikiristo zinaua kwa ajili ya mali
Anti baraka pia wanaua kwa ajili ya dini na ni wakristoNa hapa imezungumzwa kuua kwa ajili ya dini! We jamaa kichwa chako mara zote huwa ni empty
Nchi hizo zinaendeshwa na sharia ambazo zimetoka kwenye misingi ya dini , ambapo ni makubaliano yao kama taifa huru.Sio Nchi, ni kikundi... kama ilivyo Al-shabab, Boko Haram, AL Qaida, Islamic State
Anti Baraka siku hizi hawapo
Mwanetu unatafuta usawa kwamba na ukristo uonekane unalazimisha watu wawe wakristo. Hebu kubali kwanza kwamba dini yako inapenda sana ushetani wa kuua roho za watu kisa wamekataa uislam.Anti baraka pia wanaua kwa ajili ya dini na ni wakristo