Je watu walishirikishwa kutoa maoni au wametumia tu nguvu kupitisha hizo sheria.... na kama zinapendwa mbona refugees wengi wa Uislamu wazikimbia hizo nchi kisa hiyo hiyo dini.Nchi hizo zinaendeshwa na sharia ambazo zimetoka kwenye misingi ya dini , ambapo ni makubaliano yao kama taifa huru.
Hawapo wapo walifanya mauaji kwa misingi ya kidini.
Sina dini naongea ukweli ambao kanisani mnaposomewa vitabu vyenu ningumu kufahamuMwanetu unatafuta usawa kwamba na ukristo uonekane unalazimisha watu wawe wakristo. Hebu kubali kwanza kwamba dini yako inapenda sana ushetani wa kuua roho za watu kisa wamekataa uislam.
Haya jibu hoja ya Uzi huu, ni nchi ipi inalazimisha watu wake wawe wakristo na ukiacha ukristo unauawa kama ambavyo wanafanya waislam kwenye mataifa yenye waislam wengiSina dini naongea ukweli ambao kanisani mnaposomewa vitabu vyenu ningumu kufahamu
Hakuna nchi inatumia sheria za kikristo kuongoza raia, nchi zenye sharia za kiislam wakristo wakiarabu wana hukumu zao kwenye mahakama za kikanisa wala hawabanwi na sharia.Je watu walishirikishwa kutoa maoni au wametumia tu nguvu kupitisha hizo sheria.... na kama zinapendwa mbona refugees wengi wa Uislamu wazikimbia hizo nchi kisa hiyo hiyo dini.
Uwezi kuta mkristo anakimbia nchini kisa sheria za ukristo
Lebanon kuna wakristo wakiarabu kibao , palestina , Iran , Iraq misri , Morocco wapo kibao na sio wakristo tu mpaka wayahudi na wanaishi kama nduguHaya jibu hoja ya Uzi huu, ni nchi ipi inalazimisha watu wake wawe wakristo na ukiacha ukristo unauawa kama ambavyo wanafanya waislam kwenye mataifa yenye waislam wengi
Hao ni wakristo ambao ni wamezaliwa kwenye ukristo. Elewa point ya mleta mada, mtu akibadili dini Somalia anafanywa nini?Lebanon kuna wakristo wakiarabu kibao , palestina , Iran , Iraq misri , Morocco wapo kibao na sio wakristo tu mpaka wayahudi na wanaishi kama ndugu
Unajua Sheria ya dini? Na mleta mada anajua Sheria ya dini au kaandika tu..??!!Hao ni wakristo ambao ni wamezaliwa kwenye ukristo. Elewa point ya mleta mada, mtu akibadili dini Somalia anafanywa nini?
Uislamu haukuwa matakwa / mapendekezo ya mtuJe watu walishirikishwa kutoa maoni au wametumia tu nguvu kupitisha hizo sheria.... na kama zinapendwa mbona refugees wengi wa Uislamu wazikimbia hizo nchi kisa hiyo hiyo dini.
Uwezi kuta mkristo anakimbia nchini kisa sheria za ukristo
Ukielewa mada hii huwezi kuuliza maswali kama haya ila utajikita katika kujibu hojaUnajua Sheria ya dini? Na mleta mada anajua Sheria ya dini au kaandika tu..??!!
Sasa hapo unapaswa ujue historia ya Somalia, na ni somo pana , ujue kwa nini wao wana sharia kali kihistoria , tofauti na Iraq, palestina na nk ambao wao hawapo hivyo, kuliko kuhukumu wote katika kapu moja.Hao ni wakristo ambao ni wamezaliwa kwenye ukristo. Elewa point ya mleta mada, mtu akibadili dini Somalia anafanywa nini?
hahahaha,hutoboiHuu Uzi umeishaje bila kutaja Somalia?
Pale ukibadili dini wanafamilia tu wanakuua, wakichelewa serikali inakumaliza, serikali ikichelewa majamaa ya Al shabaab fasta yanapita na kichwa chako. Uislam ni ushetani 100%
Mleta mada analeta uzi bila fact,ila katumia chuki dhidi ya uislamu.Ukielewa mada hii huwezi kuuliza maswali kama haya ila utajikita katika kujibu hoja
Bwashee....Sasa hapo unapaswa ujue historia ya Somalia, na ni somo pana , ujue kwa nini wao wana sharia kali kihistoria , tofauti na Iraq, palestina na nk ambao wao hawapo hivyo, kuliko kuhukumu wote katika kapu moja.
Sisi tunajua kwenye uislam kuna Sheria ya kijinga sana kwamba mtu akiacha uislam inabidi akatwe shingo,Mleta mada analeta uzi bila fact,ila katumia chuki dhidi ya uislamu.
Ndo maana nikakuulizeni...wewe na huyo mleta Uzi...mnajua Sheria ya dini juu ya Mritadi au ni chuki zenu bila fact..?
Nipo nao sambamba tuBwashee....
Hawa wanataka kukuzonga....hawana fact ila wana chuki dhidi ya uislamu
Kama umebeba kitabu cha dini yako kina kumbukumbu la torati na sharia zake kama kitabu cha mwongozo wa dini ya kikristo, jinsi ulivyo acha kupiga mawe wazinifu na kukata vichwa wanavunja sabato, ndivyo hivyo hivyo kuna waislamu wameacha kufuata sharia na wengine wameamua kufuata kama miongozo yao ya nchi.Sisi tunajua kwenye uislam kuna Sheria ya kijinga sana kwamba mtu akiacha uislam inabidi akatwe shingo,
😅We mzee muislam unajifanya huna dini?Kama umebeba kitabu cha dini yako kina kumbukumbu la torati na sharia zake kama kitabu cha mwongozo wa dini ya kikristo, jinsi ulivyo acha kupiga mawe wazinifu na kukata vichwa wanavunja sabato, ndivyo hivyo hivyo kuna waislamu wameacha kufuata sharia na wengine wameamua kufuata kama miongozo yao ya nchi.