Sio najifanya nakunywa bia nakula nguruwe , sijawahi hata kuwa mwislamu wala sijui wanavyosali, ila nimewahi kuwa Mkristo najua kila kitu kuhusu ukristo na sasa sina dini.😅We mzee muislam unajifanya huna dini?
Mada ni kuua mtu kisa kuacha dini. Mtu asilazimishwe kuwa muislam, akitaka kuacha awe huru. Huelewi nini hapa?
Biblia imeamuru mtu akiacha kuifata auawe?Sio najifanya nakunywa bia nakula nguruwe , sijawahi hata kuwa mwislamu wala sijui wanavyosali, ila nimewahi kuwa Mkristo najua kila kitu kuhusu ukristo na sasa sina dini.
Kitabu cha biblia pia kimeamuru kuua na kupiga mawe, jinsi wakristo waliacha hiyo sharia ,ndio hivyo hivyo kuna waislamu wameacha na ndio hivyo hivyo kuna waislamu wameifuata.
Soma kumbukumbu la torati ambacho ni moja ya vitabu vilivyokubalika ndani ya ukristo na vikawekwa kwenye biblia takatifuBiblia imeamuru mtu akiacha kuifata auawe?
Nipe Aya mkuu, niende fasta bila kuchelewa.Soma kumbukumbu la torati ambacho ni moja ya vitabu vilivyokubalika ndani ya ukristo na vikawekwa kwenye biblia takatifu
Si ndio point ya jamaa? Yaani hakuna nchi ya Christian majority ambayo inatumia Sheria za Kibiblia kuongoza nchi, na kutoa adhabu extreme kama za kifo sababu Biblia inaamuruSharia zinaongoza mamlaka ya nchi, hakuna nchi ya kikristo mamlaka ya kanisa ina nguvu ya sheria ndani ya dola.
Sio lazima wenye sharia wafanane na wasio na sheria kila nchi inaishi kwenye misingi inayoona ni sahihi kwa makubaliano kama taifa
Kumbukumbu la torati 22.22Nipe Aya mkuu, niende fasta bila kuchelewa.
Hapa Nina masikitiko kinoma nimesikia kuna vijana wawili walibusiana kwenye msikiti wa Makkah wamepewa adhabu ya kifo, huu uislam sijui kwa nini Mungu anaacha uendelee kuua watu!
Na zipo za kiislam pia haziendeshwi na sharia , hayo ni maamuzi na machaguo ya nchi kwa makubaliano tuSi ndio point ya jamaa? Yaani hakuna nchi ya Christian majority ambayo inatumia Sheria za Kibiblia kuongoza nchi, na kutoa adhabu extreme kama za kifo sababu Biblia inaamuru
Mkuu tunazungumzia mtu kuacha dini mbona umeenda nje kabisa na madaKumbukumbu la torati 22.22
Wafalme 18 40.Mkuu tunazungumzia mtu kuacha dini mbona umeenda nje kabisa na mada
Hivi kwa nini hakuna nchi inayojulikana sana kuwa na sheria inayomwamuru mtu auawe kwa sababu tu ameacha Ukristo na kuingia Uislamu.
Nimegundua kuna nchi kadhaa zenye sheria zinazoweza kutoa adhabu ya kifo kwa kosa la uasi wa dini (apostasy), ambalo katika mifumo hiyo ya kisheria kwa kawaida humaanisha Muislamu kuacha Uislamu na kujiunga na dini nyingine.
Hizi ni baadhi ya Nchi zenye sheria za adhabu ya kifo kwa uasi wa dini
1. Saudi Arabia
Mfumo wake wa sheria unachukulia kuacha Uislamu na kuingia dini nyingine kama uasi wa dini, ambao unaweza kuadhibiwa kwa kifo. Hata hivyo, sheria hiyo haijaweka adhabu ya kifo kwa mtu ambaye ni Mkristo anayeamua kuingia Uislamu. Kwao ukitoka uislam na kuwa mkristo inabidi uuwawe, lakini mkristo akiingia kwenye Uislamu anafanyiwa tafrija.
2. Iran
Tafsiri ya sheria za Kiislamu inayotumiwa na mamlaka za Iran inaweza kuchukulia kuacha Uislamu kama kosa linaloweza kuadhibiwa kwa kifo au kuwekewa vikwazo vya kisheria. Nchi hizi ukibadili dini na kuwa mkristo bora uondoke tu nchini na kukimbia. Hata watoto wao wa kike hawawezi kuolewa na mkristo, ata kama mmependana vipi, wewe wa kiume ni lazima ubadili dini kuingia uislam
3. Yemen na Brunei
Nchi hizi zimetajwa katika uchunguzi wa mwaka 2023 wa Tume ya Marekani ya Uhuru wa Dini Duniani (USCIRF) miongoni mwa nchi ambazo sheria zake za uasi wa dini au kubadili dini zinaweza kutoa adhabu ya kifo.
Je, Mkristo akiamua kuingia Uislamu anaweza kuuawa?
Katika nchi kama Saudi Arabia na Iran, kuacha Ukristo na kuingia Uislamu si kosa la uasi wa dini linalozungumziwa katika sheria hizo.
Ndiyo zipo, lakini mada inahusu zinazoendeshwa kwa Sharia vs za KikristoNa zipo za kiislam pia haziendeshwi na sharia , hayo ni maamuzi na machaguo ya nchi kwa makubaliano tu
Nimejibu huko juuNdiyo zipo, lakini mada inahusu zinazoendeshwa kwa Sharia vs za Kikristo
We mzee naona huna hoja, hiyo Aya inasema mkristo akiacha ukristo auawe?Wafalme 18 40.
Tuishie hapa kama umeshaona sina hoja, hakun haja ya kuendelea tena .We mzee naona huna hoja, hiyo Aya inasema mkristo akiacha ukristo auawe?
Hebu tueleze kidogo ulivyoielewa hiyo Aya.
Mi naweza kukupa kauli ya Muhammad mwenyewe akisema anayeacha uislam auawe.
Nimeona ila haipo kama ambavyo tunajadiliTuishie hapa kama umeshaona sina hoja, hakun haja ya kuendelea tena .
Usikariri.wapi imetajwa mtu akibadili uislam auawe?Cult zote kama Fuvu la Kuchwa, Freemasonry, Cocaine Gang, Uchawi, Dini ya Haki, Nk: ukizihama ni lazima uuliwe:
Sunan an-Nasa'i 4059
Ibn 'Abbas said:
"The Messenger of Allah [SAW] said:
'Whoever changes his religion, kill him.'"
Ni Amri
OK nashukuru 🙏Nimeona ila haipo kama ambavyo tunajadili