... tupanue kidogo mada. Badala ya ukristo vs uislam, ingesomeka;Haya jibu hoja ya Uzi huu, ni nchi ipi inalazimisha watu wake wawe wakristo na ukiacha ukristo unauawa kama ambavyo wanafanya waislam kwenye mataifa yenye waislam wengi
Roma ikiwa chini ya dini gani? You're hitting the bush.Soma historia vizuri, enzi za dola ya waroma walikua wanaua sana watu sababu ya imani.
Uzi ufungweSharia zinaongoza mamlaka ya nchi, hakuna nchi ya kikristo mamlaka ya kanisa ina nguvu ya sheria ndani ya dola.
Sio lazima wenye sharia wafanane na wasio na sheria kila nchi inaishi kwenye misingi inayoona ni sahihi kwa makubaliano kama taifa
Hahhaa , zipo zipo sio hapa 😅😅Uzi ufungwe
Chatungi ukiwa hujapiga visungura zinacharge kumbe..!!
Umejuaje ni ngumu kufa hamu wakati huna dini na kanisani huingiiSina dini naongea ukweli ambao kanisani mnaposomewa vitabu vyenu ningumu kufahamu
OK tulia ignore list ukae milele humo.Umejuaje ni ngumu kufa hamu wakati huna dini na kanisani huingii
Matako wewe
Magaidi wakubwa nyie unajificha kwenye kichaka eti sina dini muhuni wewe
Tushajua upo kwa magaidi
Lazima Mungu awe tofauti na shetani.Nchi zenye ukristo ndani ya dola ziko nyingi sana Vatican, Costa Rica, Denmark, Malta, Monaco, Iceland, Tonga, Samoa, Tuvalu hata kwa majirani zetu Zambia, Ukristo unatambuliwa katika katiba kama msingi wa taifa.
Lakini uwezi kuta nchi hizi zinanyonga watu kisa wamekuwa Waislamu
Kenya hapo ukifanyika uchaguzi huwa Kwaya za wakristo zinaimba mwanzo mwisho kwenye ofisi za tume ya uchaguzi mpaka matokeo yanatangazwa.Nchi zenye ukristo ndani ya dola ziko nyingi sana Vatican, Costa Rica, Denmark, Malta, Monaco, Iceland, Tonga, Samoa, Tuvalu hata kwa majirani zetu Zambia, Ukristo unatambuliwa katika katiba kama msingi wa taifa.
Lakini uwezi kuta nchi hizi zinanyonga watu kisa wamekuwa Waislamu
Dini inayoua ni moja tu dini ya Allah, zingine zote ni dini zinazowapa watu uhuru.... tupanue kidogo mada. Badala ya ukristo vs uislam, ingesomeka;
"Kwanini baadhi ya dini zinaua waumini wanaoziacha? Kwanini nyingine hazifanyi hivyo?".
Hapo ingekuwa holistic approach badala ya dini mbili tu wakati zipo nyingi - Buddhism, Hinduism, Judaism, to mention few.
Mi sina kazi na wewe weka ignore list usiweke shaur yakoOK tulia ignore list ukae milele humo.
Sharia zinaongoza mamlaka ya nchi, hakuna nchi ya kikristo mamlaka ya kanisa ina nguvu ya sheria ndani ya dola.
Sio lazima wenye sharia wafanane na wasio na sheria kila nchi inaishi kwenye misingi inayoona ni sahihi kwa makubaliano kama taifa
Hawana uhakika na MUNGU wao kama yupo au laah, wameamua waanze kumsaidia kazi ya kutoa hukumu
Bwashee😂Soma nilichoandika halafu ujibu kwa ufahamu, hizo nchi sheria zake ni za kiraia au za kikanisa?