daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Passo sio gari ni mkokoteni uliochangamkaMark 2
Mark X
Passo
Haya magari yakiwa used hapa nchini yanauzwa bei ndogo sana ukilinganisha na mengine yenye umri sawa mfano IST, VITZ
Nawasilisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu na ndinga zenu, woiiiiiihPasso sio gari ni mkokoteni uliochangamka
Sisi tunaoita magari ya wenzetu kwamba ni ya mkopo, ndio ambao hatujawahi kumiliki hata baiskeli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu na ndinga zenu, woiiiiiih
[emoji1][emoji1]kweli mkuu passo hamna kitu asee. inachoka vibayaPasso sio gari ni mkokoteni uliochangamka
pamoja na kwamba sina gari ila naungana na brother buji kusema passo hamna gari mule [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu na ndinga zenu, woiiiiiih
Weka na Brevis...Mark 2
Mark X
Passo
Haya magari yakiwa used hapa nchini yanauzwa bei ndogo sana ukilinganisha na mengine yenye umri sawa mfano IST, VITZ
Nawasilisha
Kuanzia uko N.W.A Niggaz With Attitude na kina DJ Yella, Ice Cube na Eazy E hadi ukaenda solo na kutoa The Chronic, imekuwaje hadi leo Dr Dre huna gari?pamoja na kwamba sina gari ila naungana na brother buji kusema passo hamna gari mule [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16] itsa long story brother.Kuanzia uko N.W.A Niggaz With Attitude na kina DJ Yella, Ice Cube na Eazy E hadi ukaenda solo na kutoa The Chronic, imekuwaje hadi leo Dr Dre huna gari?
Yale magari ya kifahari tunayokuona nayo kwenye TV kwani ni ya nani?
Blood of Jesus, Toyota Raum nzuri sana kwenye mafuta, spare ziko kibao. Utafurahi zaidi ukiipata yenye engi e ya 1NZ au yenye 2NZVp kuhusu TOYOTA RAUM naomba kwa anayeijua vizuri anipe moja mbili zake
π π π π π hamnaga raum ya 2NZ mzeeOngea vizuri na Bill Lugano akupe ka Mercedes-Benz G Guard.
Baba yake huwa anamgombeza sana kwa kuwapunja mishahara wafanyakazi wake, hubu fikiria mlinzi wa mlangoni anampa USD. 15,000/- kwa wiki.
Blood of Jesus, Toyota Raum nzuri sana kwenye mafuta, spare ziko kibao. Utafurahi zaidi ukiipata yenye engi e ya 1NZ au yenye 2NZ
Asante mkuu BujiOngea vizuri na Bill Lugano akupe ka Mercedes-Benz G Guard.
Baba yake huwa anamgombeza sana kwa kuwapunja mishahara wafanyakazi wake, hubu fikiria mlinzi wa mlangoni anampa USD. 15,000/- kwa wiki.
Blood of Jesus, Toyota Raum nzuri sana kwenye mafuta, spare ziko kibao. Utafurahi zaidi ukiipata yenye engi e ya 1NZ au yenye 2NZ
Ipo, new model 4WD[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hamnaga raum ya 2NZ mzee
Sijawahi ionaIpo, new model 4WD
Nisaidie tena hapo kwenye 1NZ na 2NZ maana yake ni nini na ni nini tofauti yakeOngea vizuri na Bill Lugano akupe ka Mercedes-Benz G Guard.
Baba yake huwa anamgombeza sana kwa kuwapunja mishahara wafanyakazi wake, hubu fikiria mlinzi wa mlangoni anampa USD. 15,000/- kwa wiki.
Blood of Jesus, Toyota Raum nzuri sana kwenye mafuta, spare ziko kibao. Utafurahi zaidi ukiipata yenye engi e ya 1NZ au yenye 2NZ
Nimeiona mkuu, ninayo.Sijawahi iona