Kwa nini haya magari used yanauzwa bei ndogo sana?

pamoja na kwamba sina gari ila naungana na brother buji kusema passo hamna gari mule [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuanzia uko N.W.A Niggaz With Attitude na kina DJ Yella, Ice Cube na Eazy E hadi ukaenda solo na kutoa The Chronic, imekuwaje hadi leo Dr Dre huna gari?

Yale magari ya kifahari tunayokuona nayo kwenye TV kwani ni ya nani?
 
Ongea vizuri na Bill Lugano akupe ka Mercedes-Benz G Guard.
Baba yake huwa anamgombeza sana kwa kuwapunja mishahara wafanyakazi wake, hubu fikiria mlinzi wa mlangoni anampa USD. 15,000/- kwa wiki.
Vp kuhusu TOYOTA RAUM naomba kwa anayeijua vizuri anipe moja mbili zake
Blood of Jesus, Toyota Raum nzuri sana kwenye mafuta, spare ziko kibao. Utafurahi zaidi ukiipata yenye engi e ya 1NZ au yenye 2NZ
 
Ongea vizuri na Bill Lugano akupe ka Mercedes-Benz G Guard.
Baba yake huwa anamgombeza sana kwa kuwapunja mishahara wafanyakazi wake, hubu fikiria mlinzi wa mlangoni anampa USD. 15,000/- kwa wiki.

Blood of Jesus, Toyota Raum nzuri sana kwenye mafuta, spare ziko kibao. Utafurahi zaidi ukiipata yenye engi e ya 1NZ au yenye 2NZ
😅😅😅😅😅 hamnaga raum ya 2NZ mzee
 
Asante mkuu Buji
 
Nisaidie tena hapo kwenye 1NZ na 2NZ maana yake ni nini na ni nini tofauti yake
 
Back
Top Bottom