Kwa nini kuupinga Mkataba wa Bandari inaitwa "udini" lakini kuunga mkono sio udini?

Shida sio kutoa msimamo shida ni kushawishi waumini kupitia nafasi yao kama viongozi wadini wapinge jitihada za serikali katika uwekezaji unaofanyika bandarini hapo ndipo tatizo lilipo.
Sasa km hadhira yao ni waumini ulitaka waseme kwa niaba ya kina nani? Sisi huku tunasema mmoja mmoja lkn ingetakiwa kuwa na sauti moja yenye nguvu ya kuwasilisha mawazo yetu ambayo ni bunge, bunge limeshindwa kufanya kazi yake Tec wameamua kuwasilisha Sauti ya pamoja kuhusu msimamo wao na waumini wao, shida iko wapi?
 
Nakubali na ni kweli waumini ndio hadhira yao ila tatizo sheria haziwaruhusu kufanya siasa au kuweka mrengo huo ktk maeneo hayo na pia zinakataza katiba za vyama vya kisiasa kuwa na mrengo huo ni hivyo tu ndugu yangu .
 
Nakubali na ni kweli waumini ndio hadhira yao ila tatizo sheria haziwaruhusu kufanya siasa au kuweka mrengo huo ktk maeneo hayo na pia zinakataza katiba za vyama vya kisiasa kuwa na mrengo huo ni hivyo tu ndugu yangu
Siasa gani wamefanya hapo ndugu yng? kutoa maoni yao na kusema wanachosimamia khs uwekezaji wa bandari ni siasa? Au wangesimamia kuunga mkono uwekezaji ndio ingekuwa sio siasa?
 
WAJINGA NDIO WANA HOJA NYEPESI NYEPESI ZA KUSINGIZIA UDINI
 
🌳Beli kwenye ubora wako
 
Kwani ilikuaje wakristo wakapewa mpunga kwenye taasisi zao ila taasisi kama hizo za kiislamu zikose? Na ikawaje maraisi wote wa akiislamu waliopita walishindwa kurekebisha hilo?
 
Nakubali na ni kweli waumini ndio hadhira yao ila tatizo sheria haziwaruhusu kufanya siasa au kuweka mrengo huo ktk maeneo hayo na pia zinakataza katiba za vyama vya kisiasa kuwa na mrengo huo ni hivyo tu ndugu yangu .
Ni Sheria ipi inazuia watu wa dini kukosoa wanasiasa wezi na mafisadi?
Kwa mujibu wa Katiba KILA mwananchi ana uhuru wa kutoa maoni..
Mbona hao hao viongozi wa dini wakisifia viongozi hawasemi kuna udini?
Acheni kutumia kichaka cha dini kutetea wizi wa raslimali za nchi.
Kipindi cha sasa wajinga wa kudanganywa kirahisi ni wachache mnooo!

Wanasheria na wanasiasa wakijitokeza kuhoji mnawakamata na kuwabambikizia kesi za UONGO, viongozi wa dini wakiwakosoa mnasema udini.. acheni UTAPELI bhana!
 
Kwani ilikuaje wakristo wakapewa mpunga kwenye taasisi zao ila taasisi kama hizo za kiislamu zikose? Na ikawaje maraisi wote wa akiislamu waliopita walishindwa kurekebisha hilo?
Hayo yalifanyika awamu ya pili, rais akiwa Mwinyi, muislamu. Ukifuatilia utajua sababu.

Je, kuna hospitali gani ya Kiislamu ipo sawa na BUGANDO au KCMC zenye hadhi ya hospitali ya rufaa ya kanda?
 
Tulipofika kama taifa ni pabaya kuhusu suala la DP World, migawanyiko na migongano ni mingi ndani ya dini zetu,baina ya ukristo na uislamu, kijinsia,uzanzibar/utanganyika,uvyama vya siasa, tuwe macho,tunatumika kugawanywa,hali hii ilipotea kabisa miaka ya hivi karibuni imerudi kwa kasi. Suluhisho,Rais ni nembo yetu sasa atoe kauli ya mwelekeo. Tunahitaji uongozi
 
Hayo yalifanyika awamu ya pili, rais akiwa Mwinyi, muislamu. Ukifuatilia utajua sababu.

Je, kuna hospitali gani ya Kiislamu ipo sawa na BUGANDO au KCMC zenye hadhi ya hospitali ya rufaa ya kanda?
Sasa wavaa kobazi wanalalamika nn hapo
 
Kwa hoja yako ni kwamba bandari imeuzwa kwa DP world, hivo serikali iliyikua ikitoa misamaha wa kodi katika taasisi za dini (uslamu na ukristo) sasa kwakua mamlaka hayo yatakua kwa dp World ni dhahiri hatujui ataamua nini kama misamaha itakuwepo ama la???

Na ndio mtazamo wako kwamba waroma wanaogopa kufutiwa misamaha ila waislam wao hawanashida na hiyo misamaha ya kodi si ndio???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…