Kwa hiyo Makonda ni ng'ombe?shida kubwa ni kwamba wanaomtuhumu ni watu wazima ambao bado wanaoishi majumbani kwa wazazi wao, na ndio maana hawataki kujitokeza hadharani na vielelezo kumshitaki mahakamani....
wahenga walisema...
nanukuu....
"kelele za chura hazimzuii ng"ombe kunywa maji"
nasisitiza ukiendelea kuishi kwa wazazi na utu uzima huo huwez change....Kwa hiyo Makonda ni ng'ombe?
Kamuulize Mama yako-MakondaMoja kati ya majukumu ya makonda ni kusimamia utafiti na mafunzo kwa wana CCM.
Lakini huyu ndugu ana tuhuma ya vyeti feki, je ataweza kujua afanyie utafiti nini? Na mafunzo, mtu mwenye tuhuma ya vyeti feki ndio atakuwa anatoa mafunzo kwa maprofesa waliojaa CCM, akina Kabudi, na ma-dokta kama Kitila Mkumbo, Mwakyembe na wengine? Mbona naona aliyepaswa kusimamiwa ndiye anasimamia?
Naona atakuwa anawalisha makasa tu wana CCM, au atawapa mafunzo ya kiwango cha Nyampulukano Primary School
Akijibu plz ni tag nami!!Mbona huyo ni mwanaccm mwenzio , au mmeanza kukataana ?
Welldone ila ni uchaguzi wako mkuu, binafsi ccm it's a NOMimi ni mwana Chadema
mwanaume wivu wa nini?Unachanganya mada, au na wewe ni kundi la vyeti feki?
Anawa coordinate wataalam wamwambie kitu gani akubali na kitu gani akatae? Au yalebya Ngeleja akiwa wazirii wa nishati na madini kuwa wataalam walimdanganya.Msimamizi siyo lazima awe mtaalamu, anawa coordinate wataalamu, acha fitina...
Kwamba bado ujui maana ya mtu kusimamia au kuwa mkuu wa utafiti? Alafu unailinganisha na mkuu wa chuo na siyo makamu mkuu wa chuo? Badilika acha kupotosha watuWewe nae mjinga tu,kwani yeye ndiye mtoa mafunzo? Ndiye mfanya tafiti? Kwani ukiwa mkuu wa chuo utakuwa ndiye mhadhiri au mkufunzi wa kozi zote? Kwani wastaafu ambao Wana degree moja mbona wanaongoza vyuo vyenye maprofesa na madaktari?
KIHIYO HUYO HAKWEPEKI KAMA SIO KWELI ATOE VYETI HADHARANIMoja kati ya majukumu ya makonda ni kusimamia utafiti na mafunzo kwa wana CCM.