Kwa nini Makonda anasimamia idara ya mafunzo na utafiti CCM wakati yeye mwenyewe ana tuhuma ya kuwa na vyeti feki?

shida kubwa ni kwamba wanaomtuhumu ni watu wazima ambao bado wanaoishi majumbani kwa wazazi wao, na ndio maana hawataki kujitokeza hadharani na vielelezo kumshitaki mahakamani....

wahenga walisema...

nanukuu....

"kelele za chura hazimzuii ng"ombe kunywa maji"
Kwa hiyo Makonda ni ng'ombe?
 
Wewe nae mjinga tu,kwani yeye ndiye mtoa mafunzo? Ndiye mfanya tafiti? Kwani ukiwa mkuu wa chuo utakuwa ndiye mhadhiri au mkufunzi wa kozi zote? Kwani wastaafu ambao Wana degree moja mbona wanaongoza vyuo vyenye maprofesa na madaktari?
 
Moja kati ya majukumu ya makonda ni kusimamia utafiti na mafunzo kwa wana CCM.

Lakini huyu ndugu ana tuhuma ya vyeti feki, je ataweza kujua afanyie utafiti nini? Na mafunzo, mtu mwenye tuhuma ya vyeti feki ndio atakuwa anatoa mafunzo kwa maprofesa waliojaa CCM, akina Kabudi, na ma-dokta kama Kitila Mkumbo, Mwakyembe na wengine? Mbona naona aliyepaswa kusimamiwa ndiye anasimamia?

Naona atakuwa anawalisha makasa tu wana CCM, au atawapa mafunzo ya kiwango cha Nyampulukano Primary School
Kamuulize Mama yako-Makonda
 
Msimamizi siyo lazima awe mtaalamu, anawa coordinate wataalamu, acha fitina...
Anawa coordinate wataalam wamwambie kitu gani akubali na kitu gani akatae? Au yalebya Ngeleja akiwa wazirii wa nishati na madini kuwa wataalam walimdanganya.
Hizi theories hua zinafanya kazi hapa Tanzania tu? Au kuna sehemu output ilishawahi kupimwa ikaonekana kuwa inafanya kazi kwa matokeo Chanya?
 
Wewe nae mjinga tu,kwani yeye ndiye mtoa mafunzo? Ndiye mfanya tafiti? Kwani ukiwa mkuu wa chuo utakuwa ndiye mhadhiri au mkufunzi wa kozi zote? Kwani wastaafu ambao Wana degree moja mbona wanaongoza vyuo vyenye maprofesa na madaktari?
Kwamba bado ujui maana ya mtu kusimamia au kuwa mkuu wa utafiti? Alafu unailinganisha na mkuu wa chuo na siyo makamu mkuu wa chuo? Badilika acha kupotosha watu
 
Moja kati ya majukumu ya makonda ni kusimamia utafiti na mafunzo kwa wana CCM.

Lakini huyu ndugu ana tuhuma ya vyeti feki, je ataweza kujua afanyie utafiti nini? Na mafunzo, mtu mwenye tuhuma ya vyeti feki ndio atakuwa anatoa mafunzo kwa maprofesa waliojaa CCM, akina Kabudi, na ma-dokta kama Kitila Mkumbo, Mwakyembe na wengine? Mbona naona aliyepaswa kusimamiwa ndiye anasimamia?

Naona atakuwa anawalisha makasa tu wana CCM, au atawapa mafunzo ya kiwango cha Nyampulukano Primary School
KIHIYO HUYO HAKWEPEKI KAMA SIO KWELI ATOE VYETI HADHARANI

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom