Kwa nini miujiza ya Mwamposa inapingwa na kudhihakiwa na watu wa Imani nyingine?

Kwa nini miujiza ya Mwamposa inapingwa na kudhihakiwa na watu wa Imani nyingine?

Watajua wenyewe, haibadilishi ukweli kuwa mwamposa anawaona waumini wake madunya
Mbona Wakatoliki wanaamini mkate na divai wanaokula kanisani kwenye misa ni mwili na damu ya Yesu halisi? Kuna muujiza mkuu zaidi ya huu?
 
kuna muumini wa kwa mwamposa mwenye akili timamu kabisa!?
Hivi wewe kama umesoma biblia vizuri au hata kidogo ulishawahi ona sehemu pameandikwa Njoo ule keki ya upako!!?
Mnajitambua kweli nyinyi!?
Kwani miujiza yote lazima ifanane?
 
Mi hizo drama sijawahi kuziamini na nitaendelea kutokuamini.
Nikiwa na shida ya kimwili naenda hospital nikiona sielewi nahamia kwenye utamaduni.
... Yaani bora uende na jogoo mweupe na kondoo mweusi kwa Mshana Jr kuliko kwenda kwa MWAMPOSA? ... SASA HUKO SI NDO UNAKWENDA KUCHONGANISHWA NA JIRANI NA KULIZWA KABISA?
😅
 
Kwa nini Mwamposa ni tapeli na hao wengine wa zamani waliofanya miujiza sio matapeli?
Wengine wa zamani kina nani?

Simple concept.

Ukishaona mtu anaabudu pesa na mwanasiasa mwenye madaraka, ujue HAKUNA Mungu hapo.
 
Mnyakyusa hawezi kuwa mtume?
Mwenyezi mungu anaweza weka uwepo wake sehemu yoyote pasina ubaguzi wowote ila kwa ili la kutungisha mimba mara tu baada ya kufika madhabauni aaah ilo sio shamba la maparachichi
 
Mi hizo drama sijawahi kuziamini na nitaendelea kutokuamini.
Nikiwa na shida ya kimwili naenda hospital nikiona sielewi nahamia kwenye utamaduni.
Sasa utamaduni una tofauti gani na dini? Mtu anapita kote huko anagonga mwamba anaenda kwenye maombi nako pia unaweza kugonga mwamba pia. We omba usipate shida tu lakini ikikukamata vizuri hakuna sehemu hutatia mguu
 
Back
Top Bottom