chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,548
- 2,699
Mambo ya kiroho ni ngumu kuyathinitisha kwenye ulimwengu wa nyama. Miujiza ipo na watu wanapokea,ww amini tu.
Hii ni vita na washindi ndio sisi
Hii ni vita na washindi ndio sisi
Ebu njoo PM...🤭Si kila tiba inahitaji jogoo au mbuzi,, huko kwa mitume watu wanatoa mpaka 5m kupata huduma tu.
mi hapa naona kila mtu ashinde mechi zake.
Hakuna mtu duniani anayeweza kufanya miujiza ni ushetani na viini macho tuu!!!Kwani miujiza yote lazima ifanane?
We umemalizaMwamposa sio mtumishi wa Mungu
Hakuna kanuni ya miujiza ndiyo lakini kuna kanuni ya akili ya kawaida, sasa kama hakuna kanuni, mbona hiyo miujiza haitokei bure mpaka muuziane mafuta na chumvi? Mbona hiyo miujiza haifuati kanuni ya upendo wa Mungu kwenda kuwaponya wagonjwa wa Muhimbili waliokata tamaa badala ya kusubiri watu wenye viingilio vya sadaka uwanjani kwenu hapo ?Nafikiri hivi ni vigezo vyenu vya kujitungia kutaka miujiza ifanyike kwa mujibu wa vile mnavyoona ni sahihi ila ukweli ni kwamba hakujawahi kuwa na kanuni maalumu za miujiza.
Acha kunukuu Biblia kwenye utapeli. Hakuna miujiza hapo. Tuache utani kabisaYohana 14:12. Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo