Kwa nini miujiza ya Mwamposa inapingwa na kudhihakiwa na watu wa Imani nyingine?

Kwa nini Mwamposa na mitume wenzake wa kileo wanaonekana matapeli na waamini wa dini na madhehebu mengine wakati ukifuatilia katika historia ya dini zote kubwa mbili utakuta kuna historia ndefu ya miujiza ya ajabu sana iliyofanyika kupitia mitume katika Uislamu na Ukristo?

Mifano michache kutoka katika Ukristo na Uislamu ni pamoja miujiza ya mwezi kupasuka vipande viwili na kujirudia wakati wa Muhammad, bikira kumzaa Yesu, jua kusimama kwa maombi ya Joshua, mikate kudondoka kutoka mbiguni wana Israel wakala, maji kutoka kwenye vidole vya Muhammad, Yona kumezwa na kukaa tumboni kwa Samaki siku tatu.

Mfano wa Miujiza ya Wakatoliki wa zamani ni pamoja
Mtakatifu Joseph wa Cupertino wa Wakatoliki aliyeishi miaka ya 1,600 alikuwa anapaa angani kama ndege, huyo ndio msimamazi wa marubani Wakatoliki

Mtakatifu Anthony wa Padua alikuwa anafufua watu

Mtakatifu Padre Pio wa Pietrelcina alikuwa anaweza kuonekana miji tofauti kwa wakati mmoja

Kwa nini iwe nongwa na kelele kubwa mtume Mwamposa na mitume wengine hapa Tanzania wakifanya miujiza?!
Hakuna sababu nyingine zaidi ya kumchukia kisa mwanaCCM.

Lakini anakusanya Kijiji kuliko hao wote ,wivu unahusika.

Angekuwa mjinga Serikali ungeona tofauti
 
Huyo na wenzake ni madhehebu yapi! Na kwanini wanaoponywa hawajulikani mitaani kwetu na wansotajirishwa hatuwaoni mitaani kwetu!
 
Miujiza yake inapingwa kwa sababu inafanya kazi tu baada ya muumini kutoa sadaka maalum au kununua bidhaa, yani kwa Mwamposa no money, no miracle!
 
Wivu tu, mfano, kuna mtu mmoja anaitwa Mazinge, mara kadhaa, huwa anamshambulia sana Mwamposa kwa kumtaja. Mwamposa yupo kimya, hajibu.

Kama ni rahisi kukusanya na kuibia watu, na wao wafanye. Waache wivu.

Haiwezekani akakusanya kile kijiji, na kusiwe na kitu tofauti,, na ni miaka yote, kijiji hakipungui ila kinaongezeka mara dufu. Consistency ya hali ya juu. Watu sio wajinga kiasi hicho.
 
Kwa nini Mwamposa na mitume wenzake wa kileo wanaonekana matapeli na waamini wa dini na madhehebu mengine wakati ukifuatilia katika historia ya dini zote kubwa mbili utakuta kuna historia ndefu ya miujiza ya ajabu sana iliyofanyika kupitia mitume katika Uislamu na Ukristo?

Mifano michache kutoka katika Ukristo na Uislamu ni pamoja miujiza ya mwezi kupasuka vipande viwili na kujirudia wakati wa Muhammad, bikira kumzaa Yesu, jua kusimama kwa maombi ya Joshua, mikate kudondoka kutoka mbiguni wana Israel wakala, maji kutoka kwenye vidole vya Muhammad, Yona kumezwa na kukaa tumboni kwa Samaki siku tatu.

Mfano wa Miujiza ya Wakatoliki wa zamani ni pamoja
Mtakatifu Joseph wa Cupertino wa Wakatoliki aliyeishi miaka ya 1,600 alikuwa anapaa angani kama ndege, huyo ndio msimamazi wa marubani Wakatoliki

Mtakatifu Anthony wa Padua alikuwa anafufua watu

Mtakatifu Padre Pio wa Pietrelcina alikuwa anaweza kuonekana miji tofauti kwa wakati mmoja

Kwa nini iwe nongwa na kelele kubwa mtume Mwamposa na mitume wengine hapa

mwamposa ni TAPELI,TAPEL,TAPELI,TAPELI.
WAJINGA MNATAPELIWA.
 
kuna muumini wa kwa mwamposa mwenye akili timamu kabisa!?
Hivi wewe kama umesoma biblia vizuri au hata kidogo ulishawahi ona sehemu pameandikwa Njoo ule keki ya upako!!?
Mnajitambua kweli nyinyi!?
Wanauziwa Hadi kifusi, kijiko buku ten, wale ni zaidi ya vichaa
 
Kwa nini Mwamposa na mitume wenzake wa kileo wanaonekana matapeli na waamini wa dini na madhehebu mengine wakati ukifuatilia katika historia ya dini zote kubwa mbili utakuta kuna historia ndefu ya miujiza ya ajabu sana iliyofanyika kupitia mitume katika Uislamu na Ukristo?

Mifano michache kutoka katika Ukristo na Uislamu ni pamoja miujiza ya mwezi kupasuka vipande viwili na kujirudia wakati wa Muhammad, bikira kumzaa Yesu, jua kusimama kwa maombi ya Joshua, mikate kudondoka kutoka mbiguni wana Israel wakala, maji kutoka kwenye vidole vya Muhammad, Yona kumezwa na kukaa tumboni kwa Samaki siku tatu.

Mfano wa Miujiza ya Wakatoliki wa zamani ni pamoja
Mtakatifu Joseph wa Cupertino wa Wakatoliki aliyeishi miaka ya 1,600 alikuwa anapaa angani kama ndege, huyo ndio msimamazi wa marubani Wakatoliki

Mtakatifu Anthony wa Padua alikuwa anafufua watu

Mtakatifu Padre Pio wa Pietrelcina alikuwa anaweza kuonekana miji tofauti kwa wakati mmoja

Kwa nini iwe nongwa na kelele kubwa mtume Mwamposa na mitume wengine hapa Tanzania wakifanya miujiza?!
Wivu tu na ulimbukeni
 
Wivu tu, mfano, kuna mtu mmoja anaitwa Mazinge, mara kadhaa, huwa anamshambulia sana Mwamposa kwa kumtaja. Mwamposa yupo kimya, hajibu.

Kama ni rahisi kukusanya na kuibia watu, na wao wafanye. Waache wivu.

Haiwezekani akakusanya kile kijiji, na kusiwe na kitu tofauti,, na ni miaka yote, kijiji hakipungui ila kinaongezeka mara dufu. Consistency ya hali ya juu. Watu sio wajinga kiasi hicho.
Naye Atapita Kama Wajinga Wengine Walivyopita Ata Leo Awana Nyomi...
Yesu Mwenyewe Alisema Watakuja Na Watafanya Mazigaombwe Msiwafate...
 
Mi hizo drama sijawahi kuziamini na nitaendelea kutokuamini.
Nikiwa na shida ya kimwili naenda hospital nikiona sielewi nahamia kwenye utamaduni.
20260604_185414.jpg
 
Sasa utamaduni una tofauti gani na dini? Mtu anapita kote huko anagonga mwamba anaenda kwenye maombi nako pia unaweza kugonga mwamba pia. We omba usipate shida tu lakini ikikukamata vizuri hakuna sehemu hutatia mguu

Nilisha patwa na mengi na kupitia vingi.
nguvu ya utamaduni nina ushuhuda nayo.
 
... Yaani bora uende na jogoo mweupe na kondoo mweusi kwa Mshana Jr kuliko kwenda kwa MWAMPOSA? ... SASA HUKO SI NDO UNAKWENDA KUCHONGANISHWA NA JIRANI NA KULIZWA KABISA?
😅

Si kila tiba inahitaji jogoo au mbuzi,, huko kwa mitume watu wanatoa mpaka 5m kupata huduma tu.
mi hapa naona kila mtu ashinde mechi zake.
 
Miujiza yake inapingwa kwa sababu inafanya kazi tu baada ya muumini kutoa sadaka maalum au kununua bidhaa, yani kwa Mwamposa no money, no miracle!
Nafikiri hivi ni vigezo vyenu vya kujitungia kutaka miujiza ifanyike kwa mujibu wa vile mnavyoona ni sahihi ila ukweli ni kwamba hakujawahi kuwa na kanuni maalumu za miujiza.
 
Wivu tu, mfano, kuna mtu mmoja anaitwa Mazinge, mara kadhaa, huwa anamshambulia sana Mwamposa kwa kumtaja. Mwamposa yupo kimya, hajibu.

Kama ni rahisi kukusanya na kuibia watu, na wao wafanye. Waache wivu.

Haiwezekani akakusanya kile kijiji, na kusiwe na kitu tofauti,, na ni miaka yote, kijiji hakipungui ila kinaongezeka mara dufu. Consistency ya hali ya juu. Watu sio wajinga kiasi hicho.
Watu ni wajinga , ndio maana miaka nenda hatusongi mbele
 
Kwa nini Mwamposa na mitume wenzake wa kileo wanaonekana matapeli na waamini wa dini na madhehebu mengine wakati ukifuatilia katika historia ya dini zote kubwa mbili utakuta kuna historia ndefu ya miujiza ya ajabu sana iliyofanyika kupitia mitume katika Uislamu na Ukristo?

Mifano michache kutoka katika Ukristo na Uislamu ni pamoja miujiza ya mwezi kupasuka vipande viwili na kujirudia wakati wa Muhammad, bikira kumzaa Yesu, jua kusimama kwa maombi ya Joshua, mikate kudondoka kutoka mbiguni wana Israel wakala, maji kutoka kwenye vidole vya Muhammad, Yona kumezwa na kukaa tumboni kwa Samaki siku tatu.

Mfano wa Miujiza ya Wakatoliki wa zamani ni pamoja
Mtakatifu Joseph wa Cupertino wa Wakatoliki aliyeishi miaka ya 1,600 alikuwa anapaa angani kama ndege, huyo ndio msimamazi wa marubani Wakatoliki

Mtakatifu Anthony wa Padua alikuwa anafufua watu

Mtakatifu Padre Pio wa Pietrelcina alikuwa anaweza kuonekana miji tofauti kwa wakati mmoja

Kwa nini iwe nongwa na kelele kubwa mtume Mwamposa na mitume wengine hapa Tanzania wakifanya miujiza?!
Kwa sababu ya uchawi, utapeli na dhuluma kwa maskini
 
Back
Top Bottom