Ukiwa Mbunge unaweza kufanya Lobying ukaikwaa UliwaliHamjambo hapo Arusha?
JeNi kwa sababu ipi,
Kisha Ili iweje?
Na aliyemteua RC atajisikiaje akipata habari kuwa, RC hafurahii Nafasi aliyopewa na Rais, anaitamani Nafasi ya kupewa na wananchi( ubunge)?
Kila siku unatoka na kutwambia WEWE ni mwakilishi wa Rais, una mamlaka juu ya mkoa nzima, unaweza hata kumweka ndani mbunge, nyuma ya pazia unatengeneza mazingira uje ugombee ubunge huo huo Ili uje kuwa chini ya RC?
Mwenye majibu aje kunisaidia🙏
Kumbe hauwezi kuwa liwali ukiwa RC?Ukiwa Mbunge unaweza kufanya Lobying ukaikwaa Uliwali
Wao wako kwenye system wanajua nani anapata nini akiwa wapi.Kumbe hauwezi kuwa liwali ukiwa RC?
Lakini liwali ni mteule wa Rais kama tu RC, hii ni tamaa,
Mtu wa aina hii hatosheki, akipata uliwali, ataanza safari ya kutamani kiti Cha Mkuu wa maliwali.
Hafai.
Mitano mitano wote.mbunge anakaa miaka mingapi bungeni na Rc anakaa miaka mingapi ofisini!?
Yaani Rc mwenye mkoa mazima azidiwe na mbunge deals?Wao wako kwenye system wanajua nani anapata nini akiwa wapi.
Hawataki kujiajiri wakati wana mabilion ya Fedha.Mitano mitano wote.
Au tuseme kwakuwa ubunge hauna ukomo?
Sasa kwakuwa ni Nafasi ya kupewa na wananchi au Rais, SI wafungue biashara zao , kwani hawana kazi ingine?
Wangejiajuri kama ambavyo wanashauri vijana kujiajiri!
ni muhimu sana kufocus kwenye malengo yako binafsi kuliko kubabaika na malengo binafsi ya wengine gentlemanHamjambo hapo Arusha?
JeNi kwa sababu ipi,
Kisha Ili iweje?
Na aliyemteua RC atajisikiaje akipata habari kuwa, RC hafurahii Nafasi aliyopewa na Rais, anaitamani Nafasi ya kupewa na wananchi( ubunge)?
Kila siku unatoka na kutwambia WEWE ni mwakilishi wa Rais, una mamlaka juu ya mkoa nzima, unaweza hata kumweka ndani mbunge, nyuma ya pazia unatengeneza mazingira uje ugombee ubunge huo huo Ili uje kuwa chini ya RC?
Mwenye majibu aje kunisaidia🙏
Inajaribu kusema RC anazidiwa mapato na mbunge?Chalamila RC DSM vs Kenani RC Simiyu Ubunge Iringa mjini
Ubunge una fedha nyingi kuliko u-RC. Pia ubunge mtu anakuwa huru bila kufungwa amri au woga kwa mamlaka za juu. Ubunge hauna kazi nyingi zaidi ya kukaa bungeni na kutembea sehemu mbali mbali wakati RC anaishi kama panya, na muda wote yuko roho juu kuhusu matukio yanayoweza kumharibia kwa wakubwa.Hamjambo hapo Arusha?
JeNi kwa sababu ipi,
Kisha Ili iweje?
Na aliyemteua RC atajisikiaje akipata habari kuwa, RC hafurahii Nafasi aliyopewa na Rais, anaitamani Nafasi ya kupewa na wananchi( ubunge)?
Kila siku unatoka na kutwambia WEWE ni mwakilishi wa Rais, una mamlaka juu ya mkoa nzima, unaweza hata kumweka ndani mbunge, nyuma ya pazia unatengeneza mazingira uje ugombee ubunge huo huo Ili uje kuwa chini ya RC?
Mwenye majibu aje kunisaidia🙏
Kutamani Ubunge ambayo ni kwa hisani ya wananchi ni malengo binafsi?ni muhimu sana kufocus kwenye malengo yako binafsi kuliko kubabaika na malengo binafsi ya wengine gentleman
Kwa mbali sana 😁Inajaribu kusema RC anazidiwa mapato na mbunge?
Rc wa bongo ana kazi gani?😀😀Ubunge una fedha nyingi kuliko u-RC. Pia ubunge mtu anakuwa huru bila kufungwa amri au woga kwa mamlaka za juu. Ubunge hauna kazi nyingi zaidi ya kukaa bungeni na kutembea sehemu mbali mbali wakati RC anaishi kama panya, na muda wote yuko roho juu kuhusu matukio yanayoweza kumharibia kwa wakubwa.
Maslahi..Hamjambo hapo Arusha?
JeNi kwa sababu ipi,
Kisha Ili iweje?
Na aliyemteua RC atajisikiaje akipata habari kuwa, RC hafurahii Nafasi aliyopewa na Rais, anaitamani Nafasi ya kupewa na wananchi( ubunge)?
Kila siku unatoka na kutwambia WEWE ni mwakilishi wa Rais, una mamlaka juu ya mkoa nzima, unaweza hata kumweka ndani mbunge, nyuma ya pazia unatengeneza mazingira uje ugombee ubunge huo huo Ili uje kuwa chini ya RC?
Mwenye majibu aje kunisaidia🙏
Ukiona mtu ana uwezo wa ku-survive mtaani kwa shughuli zake halali mpigie saluti. Hawa wabunge hawa kama ana nusu bilioni cash hawezi kufanya la maana.Hawataki kujiajiri wakati wana mabilion ya Fedha.
Lakini wanataka Mtoto wa maskini aliyemaliza chuo hana hata mia akajiajiri
Kumbe ubunge ni sehemu ya kujifichia?Ubunge una fedha nyingi kuliko u-RC. Pia ubunge mtu anakuwa huru bila kufungwa amri au woga kwa mamlaka za juu. Ubunge hauna kazi nyingi zaidi ya kukaa bungeni na kutembea sehemu mbali mbali wakati RC anaishi kama panya, na muda wote yuko roho juu kuhusu matukio yanayoweza kumharibia kwa wakubwa.