Kwa nini Mkuu wa Mkoa atamani Ubunge ambao kimamlaka ni Cheo Cha chini kulinganisha na RC?

Kwa nini Mkuu wa Mkoa atamani Ubunge ambao kimamlaka ni Cheo Cha chini kulinganisha na RC?

Kumbe kuna biashara kwenye ubunge na u RC?

Nilidhani ni utumishi wa umma!
Mkuu, kama hakuna maslahi huko mbona wanagombania?
Kwa upendo gani na uzalendo upi unawafanya wahonge na kutafuta waganga ili wapate hiyo ajira ya so called utumishi wa Umma?

Kuna walioteuliwa kwenda kwenye majimbo ni kutafuta kura tu
Humu humu ndio wananchi wenyewe, subiri comment tu
 
Hamjambo hapo Arusha?

JeNi kwa sababu ipi,

Kisha Ili iweje?

Na aliyemteua RC atajisikiaje akipata habari kuwa, RC hafurahii Nafasi aliyopewa na Rais, anaitamani Nafasi ya kupewa na wananchi( ubunge)?

Kila siku unatoka na kutwambia WEWE ni mwakilishi wa Rais, una mamlaka juu ya mkoa nzima, unaweza hata kumweka ndani mbunge, nyuma ya pazia unatengeneza mazingira uje ugombee ubunge huo huo Ili uje kuwa chini ya RC?

Mwenye majibu aje kunisaidia🙏
Ubunge una maslahi makubwa zaidi. 18 m kea mwezi si haba. Mkuu wa mkoa atazitoa wapi hizo? Pia ubunge kupata ni rahisi kuupata hasa ukiwa muimba mapambio ya sifa kwa maslahi ya rais na chama anachoongoza.
Mkuu wa mkoa ni mteule wa rais ila maslahi kiuchumi ni kidogo licha ya uwezekano wa kuwa na marupurupu makubwa pia.
 
RC tofauti na ubunge haina mkataba,baada ya uteuzi unaweza kuondolewa baada ya wkiki moja tu
 
Yaani Rc mwenye mkoa mazima azidiwe na mbunge deals?

Ni tamaa nadhani, hamna kingine!
Decision zote za nchi zinafanywa Bungeni, Ukitoa Mhimili wa Executive the rest top decisions make wa wizara wapo Bungeni
Pia Tenure of security is the a major concerns people to opt for Parliament
 
Ubunge Una wigo mpana wa kifanikiwa bila stress tofauti na U RC pia ukitaka ujijenge kisiasa ukiwa RC ni ngumu tofauti na Mbunge
 
Ubunge Una wigo mpana wa kifanikiwa bila stress tofauti na U RC pia ukitaka ujijenge kisiasa ukiwa RC ni ngumu tofauti na Mbunge
Kujijenga kisiasa kwa Jimbo na mkoa wapi pakubwa?

Na nani Yu karibu ya wananchi muda wote Tena mwenye UWEZO wa direct kutatua shida za wananchi?
 
Ubunge ajira ya kudumu huku ukuu wa mkoa inategemea Rais kaamka je ?
Ubunge pia SI ajira ya kudumu,

Hata mitano hiyo, wananchi tunaboresha kwa reforms kwenye katiba Ili tuweze kuwafuata kazi wakiperform under .
 
Siasa ni utafutaji wa Maisha kama mwingine hizo blaaa blaaa za nyingine kama kweli ni wanatugumikia sisi mbona kwenye uchaguzi kwa nini utumie nguvu? Hiyo ni ajira
 
Kumbe kuna biashara kwenye ubunge na u RC?

Nilidhani ni utumishi wa umma!
Kuna biashara kubwa sana. Unakumbuka Makonda alitaka kupitisha konyena bandarini bila kulipa ushuru? Magu aliposikia akamwambia alipe. Hakuna namna
 
Ubunge Una wigo mpana wa kifanikiwa bila stress tofauti na U RC pia ukitaka ujijenge kisiasa ukiwa RC ni ngumu tofauti na Mbunge
basically ma-RC, DC ni CHAWA wa anayewateua, wanalaazimika kupita na swaga za aliyewateua, hata kama wanaona si sahihi, hii kazi ni ngumu sana, kila siku lazima usikilizie uteuzi na utenguaji

View: https://youtu.be/5KAntaFLZks?t=173
 
Hamjambo hapo Arusha?

JeNi kwa sababu ipi,

Kisha Ili iweje?

Na aliyemteua RC atajisikiaje akipata habari kuwa, RC hafurahii Nafasi aliyopewa na Rais, anaitamani Nafasi ya kupewa na wananchi( ubunge)?

Kila siku unatoka na kutwambia WEWE ni mwakilishi wa Rais, una mamlaka juu ya mkoa nzima, unaweza hata kumweka ndani mbunge, nyuma ya pazia unatengeneza mazingira uje ugombee ubunge huo huo Ili uje kuwa chini ya RC?

Mwenye majibu aje kunisaidia🙏
Yaani kilichokuuma hapo hasa hasa ni nini?
 
Back
Top Bottom