- Thread starter
- #41
Nashauri apelekwe kuwa Mkuu wa wilaya.Ukiaa kwenye ofisi ya RC unakua ma connection za kutosha za kufanikisha malengo
Nashauri apelekwe kuwa Mkuu wa wilaya.Ukiaa kwenye ofisi ya RC unakua ma connection za kutosha za kufanikisha malengo
Kumbe unaweza kugombea Ubunge ukiwa RC?Mmbuge kutua kwenye uwazir n chap kwa haraka kulko mkuu wa mkoa
zito kabwe sijui aliwapaga nini watu wake kigoma,walimpenda kweli..Mkuu, tukiwa na uchaguzi huru na wa haki nakuhakikishia wabunge wengi wataishia kushinda kipindi kimoja. Ni sehemu chache sana za nchi ambazo watu bado wanaweza kukubali kuwa na ''mbunge wa maisha''.
Tuanze mchakato .tuwapige pin tuweke ukomo WA ubunge.Kumbe ubunge ni sehemu ya kujifichia?
Sasa wananchi wamchague vp mwakilishi mzembe, mvivu wa kazi ngummu na Majukumu?
Tuwapige pin wabunge wawe na ukomo na waweze kufukuzika wakiperform chini ya kiwango!
Tuzuie now.tuanze na no reform no elections.Sasa ukimbie kuhudumia Mkoa mazima, ukimbilie Jimbo?
Huku ni kukwepa Majukumu,
Hapa wananchi tuzuie Waziri asitokane na mbunge.
Otherwise ufanye kama sabya kuchukua pesa za wafanya biashara kwa namna ambayo unaijua mwenyeweMaslah na fursa za kuwa top mkoa mazima ni sh ngapi?
Ni uvivu tu ndio unawasumbua.
Akiutajirisha mkoa kwa fursa za kiuchumi kupitia kilimo, utalii nk nk, iweje asipate pia pesa?
Safari za kuwa waziri, waziri mkuu au rais huanziaga kwenye ubunge na si u RCRC mchapa kazi ana maslah makubwa kuliko mbunge anayeserve Jimbo while RC ni mkoa mzma
Kweli kbs,Tuzuie now.tuanze na no reform no elections.
Mawaziri watalipwa Mshahara mmoja na ambapo utatangazwa kwenye gazeti la serikal.
Mawaziri na wabunge hawatukuwa na kiinua mgongo baada ya miaka 5 ya utumishi isipokuwa Kama watatangaza kutoendelea na nafasi hizo.(Ubunge ,uwaziri)
jielekeze kwenye kusudi la maisha, ndoto na malengo yako huna haja ya kubabaika na wengineMimi nimerelax,
Sigombei ubunge,
Nakula kwa jasho!
Mwambie kijana, tamaa ya fisi inazuia mkoa kupiga hatua za maendeleo kwa haraka.
Aridhike na alichopewa kufanya.

Nawalipa mshahara hao mm kwa Kodi YANGU,jielekeze kwenye kusudi la maisha, ndoto na malengo yako huna haja ya kubabaika na wengine![]()
Labda RC awe mla rushwa.RC mchapa kazi ana maslah makubwa kuliko mbunge anayeserve Jimbo while RC ni mkoa mzma
Kwani lazima kuutafuta ubunge ukiwa ofisi ya RC?ubunge una posho nyingi na rahisi kuwa waziri, pia kujulikana zaidi
Nchi Ina level kuu tatu za uwakilishi Yaani Rais… mbunge diwani….Sasa ukimbie kuhudumia Mkoa mazima, ukimbilie Jimbo?
Huku ni kukwepa Majukumu,
Hapa wananchi tuzuie Waziri asitokane na mbunge.
Sasa msmamizi wa Mkoa na Jimbo iweje wawe sawa?Nchi Ina level kuu tatu za uwakilishi Yaani Rais… mbunge diwani….
Unamuona mdogo kwa kutaja jimbo lkn Mbunge ni muhimili Kama alivyo jaji kwa mahakama. Ubunge sio kitu chepesi Kama unavyodhani!!
Hamjambo hapo Arusha?
JeNi kwa sababu ipi,
Kisha Ili iweje?
Na aliyemteua RC atajisikiaje akipata habari kuwa, RC hafurahii Nafasi aliyopewa na Rais, anaitamani Nafasi ya kupewa na wananchi( ubunge)?
Kila siku unatoka na kutwambia WEWE ni mwakilishi wa Rais, una mamlaka juu ya mkoa nzima, unaweza hata kumweka ndani mbunge, nyuma ya pazia unatengeneza mazingira uje ugombee ubunge huo huo Ili uje kuwa chini ya RC?
Mwenye majibu aje kunisaidia🙏
Maokoto, maokoto ndiyo mpango mzima. Mbunge kamzidi mbali RC kwa upande wa maokoto halali yanayotokana na mshahara na posho mbalimbali.Hamjambo hapo Arusha?
JeNi kwa sababu ipi,
Kisha Ili iweje?
Na aliyemteua RC atajisikiaje akipata habari kuwa, RC hafurahii Nafasi aliyopewa na Rais, anaitamani Nafasi ya kupewa na wananchi( ubunge)?
Kila siku unatoka na kutwambia WEWE ni mwakilishi wa Rais, una mamlaka juu ya mkoa nzima, unaweza hata kumweka ndani mbunge, nyuma ya pazia unatengeneza mazingira uje ugombee ubunge huo huo Ili uje kuwa chini ya RC?
Mwenye majibu aje kunisaidia🙏
Ajira ya kudumu?RC ni cheo cha kisiasa muda wowote unatenguliwa haina mktaba wa kudumu
Ubunge ni sio cheo cha kisiasa ajira yake ni ya kudumu
Kumbe Cheo kikubwa bila maokoto makubwa hakifai!Maokoto, maokoto ndiyo mpango mzima. Mbunge kamzidi mbali RC kwa upande wa maokoto halali yanayotokana na mshahara na posho mbalimbali.