Kwa nini Mkuu wa Mkoa atamani Ubunge ambao kimamlaka ni Cheo Cha chini kulinganisha na RC?

Kwa nini Mkuu wa Mkoa atamani Ubunge ambao kimamlaka ni Cheo Cha chini kulinganisha na RC?

Hamjambo hapo Arusha?

JeNi kwa sababu ipi,

Kisha Ili iweje?

Na aliyemteua RC atajisikiaje akipata habari kuwa, RC hafurahii Nafasi aliyopewa na Rais, anaitamani Nafasi ya kupewa na wananchi( ubunge)?

Kila siku unatoka na kutwambia WEWE ni mwakilishi wa Rais, una mamlaka juu ya mkoa nzima, unaweza hata kumweka ndani mbunge, nyuma ya pazia unatengeneza mazingira uje ugombee ubunge huo huo Ili uje kuwa chini ya RC?


Mwenye majibu aje kunisaidia🙏
Kwa mwanasiasa yoyote ili ugrow lazima uwe mbunge sababu ni njia ya kuelekea kwenye uwaziri ikibidi hata Urais.
 
Rc wa bongo ana kazi gani?😀😀
Kazi siyo kwa maana hasa ya kuwatumikia wananchi bali kulinda maslahi ya mkuu wa nchi. eg kudhibiti wapinzani. Kwa kifupi muda wote anakuwa roho juu. Hata mkuu wa nchi akija mkoa wako ni lazima ujue kufanya usanii wa hali ya juu ili aonekane anakubalika.
 
Rc hakai miaka 5.muda wowote anatumbuliwa.u
Mitano mitano wote.

Au tuseme kwakuwa ubunge hauna ukomo?

Sasa kwakuwa ni Nafasi ya kupewa na wananchi au Rais, SI wafungue biashara zao , kwani hawana kazi ingine?


Wangejiajuri kama ambavyo wanashauri vijana kujiajiri!
 
Kazi siyo kwa maana hasa ya kuwatumikia wananchi bali kulinda maslahi ya mkuu wa nchi. eg kudhibiti wapinzani. Kwa kifupi muda wote anakuwa roho juu. Hata mkuu wa nchi akija mkoa wako ni lazima ujue kufanya usanii wa hali ya juu ili aonekane anakubalika.
Aah hapo sawa. Maana mbunge yeye yupo yupo tu ana hang haonekani kwa wananchi na wala hakuna aliyemteua wa kumwajibisha.😀😀
 
Kwa mwanasiasa yoyote ili ugrow lazima uwe mbunge sababu ni njia ya kuelekea kwenye uwaziri ikibidi hata Urais.
Sasa ukimbie kuhudumia Mkoa mazima, ukimbilie Jimbo?

Huku ni kukwepa Majukumu,

Hapa wananchi tuzuie Waziri asitokane na mbunge.
 
Kumbe ubunge ni sehemu ya kujifichia?

Sasa wananchi wamchague vp mwakilishi mzembe, mvivu wa kazi ngummu na Majukumu?

Tuwapige pin wabunge wawe na ukomo na waweze kufukuzika wakiperform chini ya kiwango!
Mkuu, tukiwa na uchaguzi huru na wa haki nakuhakikishia wabunge wengi wataishia kushinda kipindi kimoja. Ni sehemu chache sana za nchi ambazo watu bado wanaweza kukubali kuwa na ''mbunge wa maisha''.
 
Mkuu, tukiwa na uchaguzi huru na wa haki nakuhakikishia wabunge wengi wataishia kushinda kipindi kimoja. Ni sehemu chache sana za nchi ambazo watu bado wanaweza kukubali kuwa na ''mbunge wa maisha''.
Yaani kondakta atamani Nafasi ya dereva ilhali kondakta ndiye anayepeleka hesabu kwa bosi na kushikilia kibbubu mlangoni?

Hii ni tamaa ya fisi!
 
Job security, vyeo hivi ya kupewa mwenye nacho akiamka vibaya anakutimua tu na huna pa kwenda kupeleka malalamiko hata kuuliza why?
Sasa akifanya vyema kazi alopewa nani atamtoa?

Hutolewa sababu ya tamaa,

Badala ya kufanya kilichokuleta, unatamani Cheo kingine ukiwa ofisi ingine!

Job security hata kwa ubunge haipo,

Tunakwenda kuzuia Waziri asitokane na mbunge!

Waende wakajiajiri,

Waendeshe hata bodaboda maana hutwambia pia ni kazi nzuri!
 
Kutamani Ubunge ambayo ni kwa hisani ya wananchi ni malengo binafsi?

Malengo binafsi ni wajiajiri, waache tamaa,

Kesho atatamani Hadi Nafasi ya mamlaka ya juu iliyomteua!
realax tu gentleman dah:putinWalk:
 
Hamjambo hapo Arusha?

JeNi kwa sababu ipi,

Kisha Ili iweje?

Na aliyemteua RC atajisikiaje akipata habari kuwa, RC hafurahii Nafasi aliyopewa na Rais, anaitamani Nafasi ya kupewa na wananchi( ubunge)?

Kila siku unatoka na kutwambia WEWE ni mwakilishi wa Rais, una mamlaka juu ya mkoa nzima, unaweza hata kumweka ndani mbunge, nyuma ya pazia unatengeneza mazingira uje ugombee ubunge huo huo Ili uje kuwa chini ya RC?


Mwenye majibu aje kunisaidia🙏
 

Attachments

  • afa324ad11e13100ecbde650d0c342b2_1743188102623.mp4
    5.9 MB
Mbunge posible akawa waziri ,bungeni kuna mkwanja kuliko ofisini kwa RC,mbunge akimaliza miaka mitano anapokea mkwanja mnene kuliko RC akiondolewa
Sasa ikiwa huo ni ukweli,

Kwanini kuutafuta ubunge ukiwa ndani ya ofisi ya RC?

Huoni huo ni utovu wa nidhamu kwa mamlaka teuzi?

Pia ni hujuma kwa wananchi maana hatosimamia vyema uchumi wa Mkoa!
 
Kila siku unatoka na kutwambia WEWE ni mwakilishi wa Rais, una mamlaka juu ya mkoa nzima, unaweza hata kumweka ndani mbunge, nyuma ya pazia unatengeneza mazingira uje ugombee ubunge huo huo Ili uje kuwa chini ya RC?


Mwenye majibu aje kunisaidia

Watu wanataka mpunga, uwezekano wa kuwa waziri n.k
 
realax tu gentleman dah:putinWalk:
Mimi nimerelax,
Sigombei ubunge,

Nakula kwa jasho!

Mwambie kijana, tamaa ya fisi inazuia mkoa kupiga hatua za maendeleo kwa haraka.

Aridhike na alichopewa kufanya.
 
Kiinua mgongo cha mbunge unajua sh ngapi?
Maslah na fursa za kuwa top mkoa mazima ni sh ngapi?

Ni uvivu tu ndio unawasumbua.

Akiutajirisha mkoa kwa fursa za kiuchumi kupitia kilimo, utalii nk nk, iweje asipate pia pesa?
 
Sasa ikiwa huo ni ukweli,

Kwanini kuutafuta ubunge ukiwa ndani ya ofisi ya RC?

Huoni huo ni utovu wa nidhamu kwa mamlaka teuzi?

Pia ni hujuma kwa wananchi maana hatosimamia vyema uchumi wa Mkoa!
Ukiaa kwenye ofisi ya RC unakua ma connection za kutosha za kufanikisha malengo
 
Back
Top Bottom