Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,840
- 4,414
Tamaa ya ubunge imelenga, marupurupu na cheo cha uwaziri (misifa kibao) isiyokuwepo kupitia ulaghai wa siasaHamjambo hapo Arusha?
JeNi kwa sababu ipi,
Kisha Ili iweje?
Na aliyemteua RC atajisikiaje akipata habari kuwa, RC hafurahii Nafasi aliyopewa na Rais, anaitamani Nafasi ya kupewa na wananchi( ubunge)?
Kila siku unatoka na kutwambia WEWE ni mwakilishi wa Rais, una mamlaka juu ya mkoa nzima, unaweza hata kumweka ndani mbunge, nyuma ya pazia unatengeneza mazingira uje ugombee ubunge huo huo Ili uje kuwa chini ya RC?
Mwenye majibu aje kunisaidia🙏
Sasa tuhakikishe Waziri asitokane na mbunge!Tamaa ya ubunge imelenga, marupurupu na cheo cha uwaziri (misifa kibao) isiyokuwepo kupitia ulaghai wa siasa
Mkifanikiwa kufanya hivyo, watumishi wote wa serikali wataimkia kurudi kwenye jungu kuuSasa tuhakikishe Waziri asitokane na mbunge!
Na mshahara wa mbunge usizidi ml 3 per month.
Duuhh itakuwaje hapo maana chalamila kamzidi kenani kwa mdomoChalamila RC DSM vs Kenani RC Simiyu Ubunge Iringa mjini
Inatakiwa Makonda awe Mbunge harafu Gambo arudishwe kuwa RCHamjambo hapo Arusha?
JeNi kwa sababu ipi,
Kisha Ili iweje?
Na aliyemteua RC atajisikiaje akipata habari kuwa, RC hafurahii Nafasi aliyopewa na Rais, anaitamani Nafasi ya kupewa na wananchi( ubunge)?
Kila siku unatoka na kutwambia WEWE ni mwakilishi wa Rais, una mamlaka juu ya mkoa nzima, unaweza hata kumweka ndani mbunge, nyuma ya pazia unatengeneza mazingira uje ugombee ubunge huo huo Ili uje kuwa chini ya RC?
Mwenye majibu aje kunisaidia🙏
Apewe ubenge wa Bure kama Mbatia.Inatakiwa Makonda awe Mbunge harafu Gambo arudishwe kuwa RC
Basi nasi tuwafukuze wabunge Ili nao wajue pale SI mserereko!RC anafukuzwa kazi kwa maoni ya kiongozi wa chama mkoa
Ndio maana hayati mh Jiwe alihakikisha kijana huyo mwenye tamaa hatoboi ubunge kigamboni 2020Kumbe hauwezi kuwa liwali ukiwa RC?
Lakini liwali ni mteule wa Rais kama tu RC, hii ni tamaa,
Mtu wa aina hii hatosheki, akipata uliwali, ataanza safari ya kutamani kiti Cha Mkuu wa maliwali.
Hafai.
Mfano mzuri ni Ile nafasi ya chama.Ndio maana hayati mh Jiwe alihakikisha kijana huyo mwenye tamaa hatoboi ubunge kigamboni 2020
RC anaonana na Rais.Mbunge yupo Bungeni anaonana na Mawaziri wengi.
Madili ni mengi huko kama unataka connection kwenye miradi ya kila siku
Ubunge unalipa kwa wanaopenda vya mteremko
RC ni cheo ambacho hakina mkataba, mwenyewe anaweza kuku-delete hata baada ya wiki mbili tu. Ubunge ni mkataba mzuri wa kikatiba, unachowaza ni jinsi ya kupata mitano ijayo, na ndani ya bunge fursa ziko nyingi sana za kupata pesa nono ya ziada.Mbunge hapangiwi sana kama mkuu wa mkoa au DC mbunge anapata joto baada ya miaka minne ya uchaguzi,
Mkuu wa mkoa kudumu kwa miaka zaidi ya mitatu ni nadra sana
Kweli kabisa lakini mbunge anaonana na mawaziri kila siku akitaka.RC anaonana na Rais.
Kumbe kuna biashara kwenye ubunge na u RC?Kweli kabisa lakini mbunge anaonana na mawaziri kila siku akitaka.
Na wanakunywa chai pamoja na kupeana mawili matatu
La kuonana na Rais ni sawa ila madili yapo huku chini